Clatous Chama Triple C awa mchezaji bora wa Sportspesa 2019/20

Clatous Chama Triple C awa mchezaji bora wa Sportspesa 2019/20

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20200728_181516112041.jpg


Kiboko ya Nkana FC ya Zambia
Kiboko ya AS Vita ya DR Congo
Kiboko ya Yanga De Utopolo

Mzee wa Faint movement

Chota Chama Triple C amechaguliwa na mashabiki wa Simba, Yanga na wapenda soka duniani kuwa mchezaji bora wa Sportspesa.

Agizo: TFF na wahusika wote Chama anastahili kuwa mchezaji bora wa VPL
 
Mbona utopolo fc wana twambia faitoto ndo mchezaj bora
 
Alishindanishwa na wachezaji gani Tatu bora?. Vigezo vilivyotumika ni vipi? (Kucheza dakika nyingi?, Assist? au magoli aliyofunga?)
 
Hongera zake na anastahili hiyo tuzo. Ni aina ya wachezaji ambao wanakufanya uwe na hamu ya kuwatazama kila mara wanapokuwepo kwenye "line up".
 
Back
Top Bottom