Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Chama bado Ana uwezo na kipaji kikubwa tu, Simba ilimleta nchini akiwa mchezaji wa kawaida sana, ufundi wake uwanjani ukaipa sana heshima timu yetu, Chama alikaa mioyoni mwetu sana wana Simba, uwezo wake ulitufanya tumnunue tena toka Berkane na kumrudisha nchini.
Heshima aliyojitengenezea akiwa Simba ni kubwa mnooo, aliaminika, alithaminiwa, alipendwa mno ndani ya timu yetu.Sifa zake wakati anaitumikia Simba zilikuwa hazina mfano.
Kijana huyu akashawishiwa na wahuni wa upande wa pili kwa tamaa ya hela, na kutokana na tayar Simba walikuwa wanamchukulia poa kuwa hawezi kuondoka, basi kijana akachukua mkwanja wa upande wa pili akamwaga wino.
Tangu ajiunge Yanga hana tena heshima aliyokuwa nayo.
Kwanza hana namba ya uhakika, kuumia umia tu kila wakati, wakati mwingine anapewa dakika 10 za kucheza, anachukuliwa kuwa mchezaji wa kawaida kama ilivyo kwa Salum Abubakary au Andambwile.
Pale Yanga hawezi tena kumshinda kinyota Pacome wala Aziz Ki.
Chama hatajwi tena, Yanga Ina wachezaj wengi kiasi kwamba Mwamba wala hana faida.
Ila Triple C bado ball limo, leo nimemsikiliza Azim Dewji akimuongelea baada ya mchezo vs Constantine kuwa chama hakuachwa kwa sababu ya umri, tamaa aliweka mbele.
Kiukweli Simba yetu mwanaume kwa sasa ni Kibbu Dennis tu, hawa akina Ahoua ni wazuri lakn maji kupwa maji kujaa, mchezaji hasa wa kaliba ya Chama Simba hatuna kwa sasa.
Leo pale kwa mkapa kama Mwamba angekuwepo pale aiseee burudani ingekuwa mara 2 yake.
Chama ameondoka lkn kiukweli Simba wanaweza kumshawishi arudi, let bygone be gygone, yaliyopita c ndwele, Chama arudishwe.
Chama hawezi kupata nafasi Yanga kama ilivyo kwa Aziz Ki au Pacome, Chama bado nafasi yake ipo Simba.
Utoto wa akina Ahoua sio mzuri huko mbeleni, lazima wakongwe kama Chama wawepo.
Chama atafutwe aambiwe asisaini tena Yanga, arudi Simba namba yake ipo.Leo pale kati angekuwa na mpira anawachambua tu wale waarabu, Ateba angekuwa anawaua tu makipa.
Ateba no striker mzuri sana lkn halishwi na watu wa kumtengenezea kama akina chama hawapo pale Simba, timu yetu kiukweli Chama bado ana umuhimu wake mkubwa sana.
Haya ni maoni yangu tu wana simba.