Clatous Chota Chama bado anahitajika sana ndani ya timu yetu Simba, Yanga wameshindwa kunufaika naye

Clatous Chota Chama bado anahitajika sana ndani ya timu yetu Simba, Yanga wameshindwa kunufaika naye

Azim Dewji ni MwanaSaikolojia yule mzee msimchukulie poa....!

Mbele ya Kamera hawezi kumponda Chama kwa mchango wake kwa mafanikio kimataifa tangu enzi za mechi ya Nkana Red devil's, Vipers etc..!

Isipokuwa Chama mbali ya tamaa ya Maokoto/Mafao pale Yanga ashakuwa mzee..!

Dogo Chasambi anaeleza jinsi alivyokuwa na ndoto ya kucheza pamoja na Chama na Mikson alipokuwa under 17, hlf ikawa hivyo,Mzee Chama akamuacha akatimkia Yanga, bado anakiwasha japo Yanga wanampa dk kiduchu. Dhahiri Chama Kazeeka.!
 
Zama zake zimeshapita awafie hao hao utopolo.
Na uzuri alishasema hadharani sababu iliyomfanya aende Yanga.

Mchizi alifuata ndoto yake.

Ila hakuangalia mazingira ya kitanda kama kingeweza kumsapoti kuipata hiyo ndoto.

Mwisho wa siku kumbe alilala kwenye kitanda chenye kunguni usiku mzima amekesha akiwa wima.

Na hii iwe ni alert kwa wajinga wengine wasiojua kufikiri outside the box.

Make the wrong move and you will going to regret for the rest of your entire life.

Sasa ameshakaa sana benchi kiasi amepata uzoefu wa kujia kwenye vile viti ni wapi mbao zimelegea.

Naamini TFF wakija kufanya marekebisho ya lile eneo wanalokaa wachezaji wa akiba basi mtu wa kwanza kumtafuta atakuwa ni Chama

Kwenye lile eneo Chama amekaa siti zote anajua wapi pana minya na wapi pana nesa.
 
Wanayoyapitia CHAMA na BALEKE pale Yanga ni stahiki yao. Waliondoka Simba kwa dharau sana.

Fikiria Ile mechi Sima inakufa 5-1, wajinga wajinga Baleke na Chama hawakuonyesha dalili yoyote ya kuumizwa na matokeo Yale ukilinganisha na akina Kapombe na Tshabalala.....Bado Ile mechi ambayo Kelvin Kijili alijifunga, Baleke alishangilia sana pengine kuliko Mchezaji yeyote wa Yanga.

Wafie huko huko wapuuzi wale.
Kwa taarifa nilizopata Baleke sio mchezaji tena wa Uto.

Wamemla kichwa na sasa sijui anaenda wapi
 
Chama bado Ana uwezo na kipaji kikubwa tu, Simba ilimleta nchini akiwa mchezaji wa kawaida sana, ufundi wake uwanjani ukaipa sana heshima timu yetu, Chama alikaa mioyoni mwetu sana wana Simba, uwezo wake ulitufanya tumnunue tena toka Berkane na kumrudisha nchini.

Heshima aliyojitengenezea akiwa Simba ni kubwa mnooo, aliaminika, alithaminiwa, alipendwa mno ndani ya timu yetu.Sifa zake wakati anaitumikia Simba zilikuwa hazina mfano.

Kijana huyu akashawishiwa na wahuni wa upande wa pili kwa tamaa ya hela, na kutokana na tayar Simba walikuwa wanamchukulia poa kuwa hawezi kuondoka, basi kijana akachukua mkwanja wa upande wa pili akamwaga wino.

Tangu ajiunge Yanga hana tena heshima aliyokuwa nayo.

Kwanza hana namba ya uhakika, kuumia umia tu kila wakati, wakati mwingine anapewa dakika 10 za kucheza, anachukuliwa kuwa mchezaji wa kawaida kama ilivyo kwa Salum Abubakary au Andambwile.

Pale Yanga hawezi tena kumshinda kinyota Pacome wala Aziz Ki.

Chama hatajwi tena, Yanga Ina wachezaj wengi kiasi kwamba Mwamba wala hana faida.

Ila Triple C bado ball limo, leo nimemsikiliza Azim Dewji akimuongelea baada ya mchezo vs Constantine kuwa chama hakuachwa kwa sababu ya umri, tamaa aliweka mbele.

Kiukweli Simba yetu mwanaume kwa sasa ni Kibbu Dennis tu, hawa akina Ahoua ni wazuri lakn maji kupwa maji kujaa, mchezaji hasa wa kaliba ya Chama Simba hatuna kwa sasa.

Leo pale kwa mkapa kama Mwamba angekuwepo pale aiseee burudani ingekuwa mara 2 yake.

Chama ameondoka lkn kiukweli Simba wanaweza kumshawishi arudi, let bygone be gygone, yaliyopita c ndwele, Chama arudishwe.

Chama hawezi kupata nafasi Yanga kama ilivyo kwa Aziz Ki au Pacome, Chama bado nafasi yake ipo Simba.

Utoto wa akina Ahoua sio mzuri huko mbeleni, lazima wakongwe kama Chama wawepo.

Chama atafutwe aambiwe asisaini tena Yanga, arudi Simba namba yake ipo.Leo pale kati angekuwa na mpira anawachambua tu wale waarabu, Ateba angekuwa anawaua tu makipa.

Ateba no striker mzuri sana lkn halishwi na watu wa kumtengenezea kama akina chama hawapo pale Simba, timu yetu kiukweli Chama bado ana umuhimu wake mkubwa sana.

Haya ni maoni yangu tu wana simba.
Yote uliyosema ni kweli Lakini Chama alipoteza mwenyewe nafasi ya kuwa mmoja wa Malegend wa Simba SC hataipata tena nafasi hiyo huwa hatucheki na wasaliti
 
Kama tutaweza kutumia "TIME TRAVEL MACHINE" tukasafiri nyuma ya muda kwa maana ya "PAST" na kwenda kumchukua "CHAMA" yule mwenye miaka 25 au 26 naunga mkono hoja.

Chama huyu aliyekuwepo utopololo hapana "BIG NO" acha afie huko huko.

"ABDELHAY FORSY" tukimpata huyu mwamba daah afrika hii cjui itakuwaje ateba atafunga mpaka akinai. Tatizo muhindi mbahili, eti tunahangaika na fei toto?
 
Simba bado tunajenga timu bado hatuna timu yakushindana na timu kubwa za africa au kuwa tishio kwa Yanga kwa misimu mitatu mfululizo. Bado simba hakuna usajili wa maana umefanyika tangu kuondoka kwa Hanspope
Timu mshakuwa nayo ya kushindana na timu kubwa Africa na pia mshakuwa na timu tishio kwa yanga we uoni nyie mmefuzu robo na wale yanga wametolewa klabu bingwa? Mko vizuri sana Tena sana mwamba🤣🤣🤣🤣
 
Ninkweli uzee wa chama, sio ujana wa ahoua, kwa game kama ya leo, alihitajika mtu mwenye utulivu wake ama utulivu wa moses phiri.

Lakini bwana chama alichagua hela kuliko heshima, wacha aogelee hela huko huko, sisi huku tunajitafuta kivingine, dunia haijawahi kuisha mafundi wa mpira, walikuwepo kina meazza, wakaja kina pele, eusebio, kikaja kizazi cha kina zico, socrates, maradona, wakaja kina bergkamp, zidane, wakaja kina gaucho, cr7 na mwenzie, sasa kina vini, yamal na wengineo.. Watapita tu, watakuja mafundi wengine
Hujamtaja Mess kwa makusudi tu....
 
Chama alijifanya Mungu mtu pale Simba..alitaka anyenyekewe..alifanya wachezaji wengine wajione hawana thamani..lakini leo hii kila mchezaji wa Simba ana thamani..leo hii kuna furaha sio kujiteng tenga kama alivyokua anafanya yeye na Luis Miqusone...kazi umbea umbea na majungu...
Akae huko huko Uto azeeke vzr...
Ajilie pesa za bure za magodoro..
 
Chama bado Ana uwezo na kipaji kikubwa tu, Simba ilimleta nchini akiwa mchezaji wa kawaida sana, ufundi wake uwanjani ukaipa sana heshima timu yetu, Chama alikaa mioyoni mwetu sana wana Simba, uwezo wake ulitufanya tumnunue tena toka Berkane na kumrudisha nchini.

Heshima aliyojitengenezea akiwa Simba ni kubwa mnooo, aliaminika, alithaminiwa, alipendwa mno ndani ya timu yetu.Sifa zake wakati anaitumikia Simba zilikuwa hazina mfano.

Kijana huyu akashawishiwa na wahuni wa upande wa pili kwa tamaa ya hela, na kutokana na tayar Simba walikuwa wanamchukulia poa kuwa hawezi kuondoka, basi kijana akachukua mkwanja wa upande wa pili akamwaga wino.

Tangu ajiunge Yanga hana tena heshima aliyokuwa nayo.

Kwanza hana namba ya uhakika, kuumia umia tu kila wakati, wakati mwingine anapewa dakika 10 za kucheza, anachukuliwa kuwa mchezaji wa kawaida kama ilivyo kwa Salum Abubakary au Andambwile.

Pale Yanga hawezi tena kumshinda kinyota Pacome wala Aziz Ki.

Chama hatajwi tena, Yanga Ina wachezaj wengi kiasi kwamba Mwamba wala hana faida.

Ila Triple C bado ball limo, leo nimemsikiliza Azim Dewji akimuongelea baada ya mchezo vs Constantine kuwa chama hakuachwa kwa sababu ya umri, tamaa aliweka mbele.

Kiukweli Simba yetu mwanaume kwa sasa ni Kibbu Dennis tu, hawa akina Ahoua ni wazuri lakn maji kupwa maji kujaa, mchezaji hasa wa kaliba ya Chama Simba hatuna kwa sasa.

Leo pale kwa mkapa kama Mwamba angekuwepo pale aiseee burudani ingekuwa mara 2 yake.

Chama ameondoka lkn kiukweli Simba wanaweza kumshawishi arudi, let bygone be gygone, yaliyopita c ndwele, Chama arudishwe.

Chama hawezi kupata nafasi Yanga kama ilivyo kwa Aziz Ki au Pacome, Chama bado nafasi yake ipo Simba.

Utoto wa akina Ahoua sio mzuri huko mbeleni, lazima wakongwe kama Chama wawepo.

Chama atafutwe aambiwe asisaini tena Yanga, arudi Simba namba yake ipo.Leo pale kati angekuwa na mpira anawachambua tu wale waarabu, Ateba angekuwa anawaua tu makipa.

Ateba no striker mzuri sana lkn halishwi na watu wa kumtengenezea kama akina chama hawapo pale Simba, timu yetu kiukweli Chama bado ana umuhimu wake mkubwa sana.

Haya ni maoni yangu tu wana simba.
Kapike chai unywe nae
 
Braza chama uliota majipu kwapani na unajipigia debe kuja simba tena????? BORA ARUDI JOHN BOKO MZALENDO.......
 
Back
Top Bottom