Clatous Chota Chama bado anahitajika sana ndani ya timu yetu Simba, Yanga wameshindwa kunufaika naye

Azim Dewji ni MwanaSaikolojia yule mzee msimchukulie poa....!

Mbele ya Kamera hawezi kumponda Chama kwa mchango wake kwa mafanikio kimataifa tangu enzi za mechi ya Nkana Red devil's, Vipers etc..!

Isipokuwa Chama mbali ya tamaa ya Maokoto/Mafao pale Yanga ashakuwa mzee..!

Dogo Chasambi anaeleza jinsi alivyokuwa na ndoto ya kucheza pamoja na Chama na Mikson alipokuwa under 17, hlf ikawa hivyo,Mzee Chama akamuacha akatimkia Yanga, bado anakiwasha japo Yanga wanampa dk kiduchu. Dhahiri Chama Kazeeka.!
 
Zama zake zimeshapita awafie hao hao utopolo.
Na uzuri alishasema hadharani sababu iliyomfanya aende Yanga.

Mchizi alifuata ndoto yake.

Ila hakuangalia mazingira ya kitanda kama kingeweza kumsapoti kuipata hiyo ndoto.

Mwisho wa siku kumbe alilala kwenye kitanda chenye kunguni usiku mzima amekesha akiwa wima.

Na hii iwe ni alert kwa wajinga wengine wasiojua kufikiri outside the box.

Make the wrong move and you will going to regret for the rest of your entire life.

Sasa ameshakaa sana benchi kiasi amepata uzoefu wa kujia kwenye vile viti ni wapi mbao zimelegea.

Naamini TFF wakija kufanya marekebisho ya lile eneo wanalokaa wachezaji wa akiba basi mtu wa kwanza kumtafuta atakuwa ni Chama

Kwenye lile eneo Chama amekaa siti zote anajua wapi pana minya na wapi pana nesa.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa taarifa nilizopata Baleke sio mchezaji tena wa Uto.

Wamemla kichwa na sasa sijui anaenda wapi
 
Yote uliyosema ni kweli Lakini Chama alipoteza mwenyewe nafasi ya kuwa mmoja wa Malegend wa Simba SC hataipata tena nafasi hiyo huwa hatucheki na wasaliti
 
Kama tutaweza kutumia "TIME TRAVEL MACHINE" tukasafiri nyuma ya muda kwa maana ya "PAST" na kwenda kumchukua "CHAMA" yule mwenye miaka 25 au 26 naunga mkono hoja.

Chama huyu aliyekuwepo utopololo hapana "BIG NO" acha afie huko huko.

"ABDELHAY FORSY" tukimpata huyu mwamba daah afrika hii cjui itakuwaje ateba atafunga mpaka akinai. Tatizo muhindi mbahili, eti tunahangaika na fei toto?
 
Simba bado tunajenga timu bado hatuna timu yakushindana na timu kubwa za africa au kuwa tishio kwa Yanga kwa misimu mitatu mfululizo. Bado simba hakuna usajili wa maana umefanyika tangu kuondoka kwa Hanspope
Timu mshakuwa nayo ya kushindana na timu kubwa Africa na pia mshakuwa na timu tishio kwa yanga we uoni nyie mmefuzu robo na wale yanga wametolewa klabu bingwa? Mko vizuri sana Tena sana mwamba🤣🤣🤣🤣
 
Hujamtaja Mess kwa makusudi tu....
 
Chama alijifanya Mungu mtu pale Simba..alitaka anyenyekewe..alifanya wachezaji wengine wajione hawana thamani..lakini leo hii kila mchezaji wa Simba ana thamani..leo hii kuna furaha sio kujiteng tenga kama alivyokua anafanya yeye na Luis Miqusone...kazi umbea umbea na majungu...
Akae huko huko Uto azeeke vzr...
Ajilie pesa za bure za magodoro..
 
Kapike chai unywe nae
 
Braza chama uliota majipu kwapani na unajipigia debe kuja simba tena????? BORA ARUDI JOHN BOKO MZALENDO.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…