Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Eti Chama amechoka atupishe, wapumbavu wengine walioanza kujua mpira miaka ya 2010 utawasikia Chama kashakuwa mzee, fyoko fyoko cjui Pacome amemzidi Chama vitu vingi, haya sasa huyo Pacome yupo National Team? Eti Chama hana msaada Simba, wengine eti aondokee, walikuwepo watu yeye nani!
Sasa pamoja na kumsimamisha kwenu kocha Avram Grant amewaona nyie uchale mwingi tu, professionalism haipo, mara Chama kamtukana kocha, cjui kajibizana na msaidizi wa Benchika, ujinga mwingiiiiiiiiii.
Chama ataendelea kuwa Chama, mwamba huyu wa Lusaka ni habari nyingine kabisa, habari nyingine kabisa, yuko zake Zambia hapo anajiandaa kwenda kukiwasha kule Ivory Coast.Nyie kaeni na majungu yenu, cjui Kova cjui nani.