Clatous Chota Chama 'Mwamba wa Lusaka', Triple C yuko Zambia akisubiri Afcon ianze

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Eti Chama amechoka atupishe, wapumbavu wengine walioanza kujua mpira miaka ya 2010 utawasikia Chama kashakuwa mzee, fyoko fyoko cjui Pacome amemzidi Chama vitu vingi, haya sasa huyo Pacome yupo National Team? Eti Chama hana msaada Simba, wengine eti aondokee, walikuwepo watu yeye nani!

Sasa pamoja na kumsimamisha kwenu kocha Avram Grant amewaona nyie uchale mwingi tu, professionalism haipo, mara Chama kamtukana kocha, cjui kajibizana na msaidizi wa Benchika, ujinga mwingiiiiiiiiii.

Chama ataendelea kuwa Chama, mwamba huyu wa Lusaka ni habari nyingine kabisa, habari nyingine kabisa, yuko zake Zambia hapo anajiandaa kwenda kukiwasha kule Ivory Coast.Nyie kaeni na majungu yenu, cjui Kova cjui nani.
 
Acha utoto wewe shabiki academia. Kwahiyo akiwa national team hawezi kuachwa?
 
Eti Chama amechoka atupishe, wapumbavu wengine walioanza kujua mpira miaka ya 2010 utawasikia Chama kashakuwa mzee, fyoko fyoko cjui Pacome amemzidi Chama vitu vingi, haya sasa huyo Pacome yupo National Team? Eti Chama hana msaada Simba, wengine eti aondokee, walikuwepo watu yeye nani!

Sasa pamoja na kumsimamisha kwenu kocha Avram Grant amewaona nyie uchale mwingi tu, professionalism haipo, mara Chama kamtukana kocha, cjui kajibizana na msaidizi wa Benchika, ujinga mwingiiiiiiiiii.

Chama ataendelea kuwa Chama, mwamba huyu wa Lusaka ni habari nyingine kabisa, habari nyingine kabisa, yuko zake Zambia hapo anajiandaa kwenda kukiwasha kule Ivory Coast.Nyie kaeni na majungu yenu, cjui Kova cjui nani.
Mbona Mwamnyeto anaitwa national team na anacheza wakati huo huo mnamsema mitandaoni kila siku?

Kuchaguliwa timu ya taifa kuna sababu nyingi sio uwezo tu
 
Ushabiki maandazi utakumaliza.

Tofauti ya umri wao ni sababu tosha ya kumfanya Pacome aonekane bora zaidi ya chama.

Source: 5-1
20231221_103211.jpg

Mkuu hii source yako haina shaka kabisaaa
 
Kuitwa national timu na ku perform ni vitu viwili tofauti.
Hao makocha huwa wanachemka sana Kwenye Kutengeneza combination ya kufanya vizuri Kwenye mashindano yoyote iwe kwenye vilabu au timu za taifa .
Argentina ilikuwa na Messi Miaka mingi lakini haikutoboa robo lakini mwaka Jana walipopata combination wakachukua kombe.
 
Eti Chama amechoka atupishe, wapumbavu wengine walioanza kujua mpira miaka ya 2010 utawasikia Chama kashakuwa mzee, fyoko fyoko cjui Pacome amemzidi Chama vitu vingi, haya sasa huyo Pacome yupo National Team? Eti Chama hana msaada Simba, wengine eti aondokee, walikuwepo watu yeye nani!

Sasa pamoja na kumsimamisha kwenu kocha Avram Grant amewaona nyie uchale mwingi tu, professionalism haipo, mara Chama kamtukana kocha, cjui kajibizana na msaidizi wa Benchika, ujinga mwingiiiiiiiiii.

Chama ataendelea kuwa Chama, mwamba huyu wa Lusaka ni habari nyingine kabisa, habari nyingine kabisa, yuko zake Zambia hapo anajiandaa kwenda kukiwasha kule Ivory Coast.Nyie kaeni na majungu yenu, cjui Kova cjui nani.
Kwa mfano..!!
Messi asichaguliwe kwenye timu ya taifa lao kucheza kwenye mashindano yoyote yale, na huku kwetu Boko achaguliwe kwenye timu yetu ya taifa, swali, INA MAANA BOKO NI MZURI KULIKO MESSI???
 
Eti Chama amechoka atupishe, wapumbavu wengine walioanza kujua mpira miaka ya 2010 utawasikia Chama kashakuwa mzee, fyoko fyoko cjui Pacome amemzidi Chama vitu vingi, haya sasa huyo Pacome yupo National Team? Eti Chama hana msaada Simba, wengine eti aondokee, walikuwepo watu yeye nani!

Sasa pamoja na kumsimamisha kwenu kocha Avram Grant amewaona nyie uchale mwingi tu, professionalism haipo, mara Chama kamtukana kocha, cjui kajibizana na msaidizi wa Benchika, ujinga mwingiiiiiiiiii.

Chama ataendelea kuwa Chama, mwamba huyu wa Lusaka ni habari nyingine kabisa, habari nyingine kabisa, yuko zake Zambia hapo anajiandaa kwenda kukiwasha kule Ivory Coast.Nyie kaeni na majungu yenu, cjui Kova cjui nani.
Pacome ni raia wa nchi gani?
Chama akipelekwa ivory cost atapata na namba taifa
Je pacome akiletwa zambia?
 
Eti Chama amechoka atupishe, wapumbavu wengine walioanza kujua mpira miaka ya 2010 utawasikia Chama kashakuwa mzee, fyoko fyoko cjui Pacome amemzidi Chama vitu vingi, haya sasa huyo Pacome yupo National Team? Eti Chama hana msaada Simba, wengine eti aondokee, walikuwepo watu yeye nani!

Sasa pamoja na kumsimamisha kwenu kocha Avram Grant amewaona nyie uchale mwingi tu, professionalism haipo, mara Chama kamtukana kocha, cjui kajibizana na msaidizi wa Benchika, ujinga mwingiiiiiiiiii.

Chama ataendelea kuwa Chama, mwamba huyu wa Lusaka ni habari nyingine kabisa, habari nyingine kabisa, yuko zake Zambia hapo anajiandaa kwenda kukiwasha kule Ivory Coast.Nyie kaeni na majungu yenu, cjui Kova cjui nani.
acha uongo chama hayumo kwenye orodha ya mwisho ya chipolopolo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom