hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Mnamo 1975, Congo ya Kinshasa alizaliwa binadamu mmoja Claude Makelele Sinda ila mitaa humfahamu tu kama Makelele, moja kati ya watu bora zaidi kuwahi kuubariki mchezo wa mpira wa miguu.
.
Makelele alipata jina zaidi Real Madrid kwenye ile zama za Galacticos, watu kama Zinadine Zidane, Luis Figo, Ronaldo De Lima, jaribu kuvuta picha hii ndio Madrid yake, isiyokuwa na wakabaji wengi ila Makelele aliweza kuipa balance timu, akabeba umaarufu tena Chelsea chini ya Jose Mourinho bila kusahau timu ya taifa ya Ufaransa
.
Makelele alikuwa kiungo wa ulinzi (Namba 6) au deep lying midfielder, alikuwa na ubora wa kuilinda ngome yake, hupenda kusimama mbele ya centre backs wawili na nyuma ya Central midfielders wawili, hapo walitengeneza triangle, Makelele hakuwahi kuruhusu kupitwa kirahisi.
.
Sifa ya ziada licha ya kusimama kama kiungo wa ulinzi ila bado ana ubora wa kucheza kama deep lying playmaker, ataiamuru timu muda gani itoke, pass ipigwe wapi muda gani ahold au unhold mpira, huyo ndie Makelele kiungo wa mpira.
.
Wakati Perez anamuuza Makelele 2003/04 baada ya kocha Del Bosque kuondoka Madrid, Zidane aliwahi kumwambia Perez kuwa ni uchizi kupaka rangi ya dhahabu kwenye gari ikiwa engine umeuza, whats next? Alimuuza Makele kisa tu ujio wa Beckham ndani ya kikosi. Kilichofuata ni waliishi misimu mitatu bila kombe lolote.
.
Anyways watu kama Makelele huzaliwa mara moja, ndani ya miaka mingi. Wale wazungu wa England wakaona isiwe tabu, zile shughuli zote za namba 6 zikapewa jina la 'Makelele Role' walimpa heshma yake.
.
Kipindi Makelele anapewa heshma yake ni karibia na ile Arsenal 'The Gunners' bora zaidi kuwahi kutokea, wakati ambapo babu Arsene Wenger anakuja na mfumo wa 4-4-2 kuliteka soka la England, Makelele alikuwepo zama zile just imagine
.
YES huyo ndio Claudio Makelele aliyewahi kumwambia Ronaldinho kama ataleta chenga zake za PlayStation atajikuta amelazwa hospital [emoji23][emoji23]
.
Dunia imepoteza watu wengi sana bwana