chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
kamuulize naye atakwambia Claude ni Bora kwenye reasoning kuliko yeye. yeye ni bora kwenye ku search mtandaoni na kujua taarifa mpya kwa harakaNgoja nikamuulize ChatGpt kuhusu Claude
Naomba tofauti ya hizo platform tatu mkuu, claude, deepseek na chatgptClaude, ChatGPT na Deepseek ni AI zenye malengo na approaches tofauti.
Ni sawa na kulinganisha Instagram, Facebook na TikTok ipi bora. Inategemea na mazingira na mahitaji.
mbaga kila mahali upo we unapumzikaga mda gani🙄Tawire
Mm n jobless ndo mana kila mahali nipo 🤣mbaga kila mahali upo we unapumzikaga mda gani🙄
mi pia ni jobless ila we umezidi mwanetu🤣🤣Mm n jobless ndo mana kila mahali nipo 🤣
Ah sasa tutafanyaje, tuwe hata majambazimi pia ni jobless ila we umezidi mwanetu🤣🤣
hii inamfanya Claude awe bora zaidi na zaidi, Chatgpt atakujibu ili ufarijike na uhisi mnajuana na mnaukaribuClaude tabia ya kunyatia mambo yako na kukusanyia matakataka na majibu ya mchongo hana
ni kama Chatgpt tuu ila hii inaitwa ClaudeHiyo clauf ndo gn em nijulishe