AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
GoodKinachowasumbua wengi kupata majibu mazuri kwenye AI yoyote Ile ni poor prompting.watu wanaandika short prompt,unclear prompt alafu wanakuja kulalamika kuwa baadhi ya AI hazina majibu sahihi .
1 First of all master prompting
2 jua strength ya AI IPO wapi kila AI chat ot in strength sehemu Fulani kuzidi nyingine mfano
-Chatgpt best for conversation kuliko AI nyingine
_deepseek na Claude Kwa watu wa coding
-perplexity ai best for reaearching
Uko sahihi, Chatgpt ni kama windows OS ina very user friendly responses na inafanya vizuri kwa simple tasks.Claude, ChatGPT na Deepseek ni AI zenye malengo na approaches tofauti.
Ni sawa na kulinganisha Instagram, Facebook na TikTok ipi bora. Inategemea na mazingira na mahitaji.
Kawaida ya Wachina huwa wanajimwambafai kila kitu chao kinachokuja kimechelewa. Deepseek ina uwezo ila ilivyopambwa ni zaidi ya ilivyo.Uko sahihi, Chatgpt ni kama windows OS ina very user friendly responses na inafanya vizuri kwa simple tasks.
Claude ni kama Linux OS ina very technical responses jargon kibao, inafanya vizuri kwenye complex tasks.
Deepseek ilipewa hype na kuwa overrated sana ilivyoingia.
Mkuu emu naomba namna nzuri ya kutumia hii deepseek. Nahusika sana na mambo ya data na codes. currently natumia subscription chatgtp na copilot kidogo.Deepseek ni nzuri kwenye data analysis, kuchora graphs au signals na kuzitafsiri. Wasomi wa hesabu, wadau wa joigrafia, wahasibu na wadau wa kompyuta wanaifurahia hii.
Claude ni nzuri kwenye interactions, ila haimaanishi ni Bora kuliko AI nyengine kwenye kila kitu.Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo,
Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri kwa reasoning ya hali ya juu sana
Ahsante mkuu P h a r a o h niliona uzi wako nikaenda kuijaribu
Nisaidie namna ya ku access hii Claude maana nimeingia google nika search then Inataka ni Create account ila Kila niki create account inataka niweke namba ya simu nikifanya hivo Kwa kuweka +255 code ya Tanzania then namba yangu ya simu inasema phone number doesn't exist, nafanyaje mkuu kuepuka hii changamoto Ili niweze ku create account na ku access hii AILeo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo,
Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri kwa reasoning ya hali ya juu sana
Ahsante mkuu P h a r a o h niliona uzi wako nikaenda kuijaribu
sasa grok gemini na deepsek ndo m giant kuliko claude, nenda hata kamuulize chatgtp. yaani Claude na Chatgtp ndo ma giant na hadi sasa claude anamzidi vingi ChatgtpClaude ni nzuri kwenye interactions, ila haimaanishi ni Bora kuliko AI nyengine kwenye kila kitu.
Watu wanaofanya role play na kuchat na Ai huwa Claude haina mpinzani.
Ila overall Hawa ma giant kina Deepseek, Gemini, Grok, Chatgpt etc wapo vizuri all around.
Unaweza ukatumia proxy pia Ku access premium features za hao ma giant na kupata version mpya ambazo zipo under pay wall.
jisajili kwakutumia email au google account ni rahisi sanaNisaidie namna ya ku access hii Claude maana nimeingia google nika search then Inataka ni Create account ila Kila niki create account inataka niweke namba ya simu nikifanya hivo Kwa kuweka +255 code ya Tanzania then namba yangu ya simu inasema phone number doesn't exist, nafanyaje mkuu kuepuka hii changamoto Ili niweze ku create account na ku access hii AI
Nilidownload Chatgpt, Deepseek, Grok na Gemini, hadi sasa nimebaki nazo tatu, Deepseek nikaamua kuifuta, kwangu niliiona inazingua, Chatgpt na Gemini nimeona wapo vyema, ngoja nijaribu hiyo claude.Kawaida ya Wachina huwa wanajimwambafai kila kitu chao kinachokuja kimechelewa. Deepseek ina uwezo ila ilivyopambwa ni zaidi ya ilivyo.
Mkuu nimejaribu ila imenigomea, hapa Kuna image ya namna unaniletea Majibu nikijisajilijisajili kwakutumia email au google account ni rahisi sana
fata hizi hatua ambazo mimi nikifanya na sijakutana na hiyo changamoto:Mkuu nimejaribu ila imenigomea, hapa Kuna image ya namna unaniletea Majibu nikijisajili