Clautous Chama mfalme mpya msimbazi

kindoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2018
Posts
213
Reaction score
218
Haina ubishi MUNGU katuletea mtu mwenye kutupa furaha msimbazi,yaani kwa uwezo anauonesha uyu jamaa ni Atari kwa afya za magori kipa, kama tungepata mshambuliaji mwenye urafik na nyavu yaani simba ingefika mbali sana,kwasasa mshambuliaji ambaye ni tishio nadhani ni kagere na okwi tu, lakin uyu chama ni moto mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washambuliaji wa Simba kama wangejua kumtumia Chama basi wangefunga magoli mengi sana sana.
Boko ameshindwa kumtumia chama kabisa, kapewa pasi za wazi nyingi na amezipoteza, kule mbabane kapewa pasi yeye na goli kipa kaanguka kagongesha besela.
Kocha nadhani anamwonea aibu Boko kwakuwa ni Kepteni wa timu.
Tukitaka kushinda kimataifa nafasi ya boko ni LAZIMA ibadilishwe, acheze hata kwasi au Salamba au kama Kichuya atajirekebisha.
Ninavyo mwona uchezaji wa Boko sidhani kama ataweza kubadirika.
Anapapara sana akipewa pasi, Labda anachowaza ni kuweka rekodi ya kufunga magoli mengi tu basi.
Boko achukue mda kuangalia Clips zake za video aone anavyocheza hovyo sana.
Sitaki kumkatisha tamaa ila haonekani kujirekebisha tatizo lake.
Kule mbabane kachomekewa pasi murwaa na CCC dakika ya tisa tu. Yeye na kipa anapaparika na kumpasia kipa na kudondoka, ile ni aibu kwa mshambuliaji.
Kama ilikuwa bahati mbaya mbona huo mtindo unajirudiarudia sana ?
Hadi Leo ?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salamba.
Mimi huyu kijana ananistaajabisha sana sana sana.
Bado mdogo, ana nguvu, anashabaha golini, anapumzi ya kutosha.
Hivi kwanini haanzi kikosi cha kwanza ?
Huyu kijana inabidi aanze na Boko abaki benchi kuusoma mchezo kama Kepteni.
Salamba na Gyani bado vijana sana na inabidi waaminiwe na waanze kikosi cha kwanza ila Gyan namba inayomfaa ni namba 7 na sio 2.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa uchambuz wako, umeongea ukwel mtupu, soka unalijua , nikwel kabisa bocco amefel ktk kutumia assist za chama, eneo analokaa bocco angekaa KAGERE AF bocco aanzie benchi, kichuya akae kulia okwi kushoto, au tutafute straika kariba ya kagere aje kutumia vzr pasi za chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bocco kila siku maboko yaani simpendi yule jamaa huwa nahisi amemloga beberu wetu si kwakupangwa kila siku
 
huyu Boko sijui anatumia nini mara nyingi yeye anaharibu halafu unashangaa Okwi ndio anatolewa Boko anaua molari ya Timu pia Kichuya aache papara akipata mpira lazima apooze halafu badala ya kumpa pasi mchezaji aliye karibu naye anapiga mipira mirefu inayopotea pia anapiga mashuti hata pale pasipostahili mwingine anayetakiwa kujirekebisha ni Shabalala
 
Simba wanatakiwa wamlipe Chama pesa ndefu kwani anasababisha mashabiki wengi kujaa uwanjani hata mashabiki wa vyura badala ya kuchangia timu yao wanakuwa rundo uwanjani kuangalia mavitu ya Chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…