Clautus Chama ondoka sasa, Robartihno hakutaki

Clautus Chama ondoka sasa, Robartihno hakutaki

Na Mimi nawaambia kama atatokea kiongozi, mwanachama au mshabiki atakaemlazimisha robertihno ampange mchezaji, robertihno anaweza kubwaga manyanga.
 
Si mlisema mmeshamsajili huko utopoloni?
Kama Chama atadanganywa na kukubali kubaki Simba kwa robertihno atasugua bench. Hifadhi vizuri Uzi huu. Wanamtaka Chama ni viongozi na mashabiki sio kocha. Kwa robertihno ni heri ya mkude na nyoni kuliko Chama.
 
Uzi tayari?????.

JAMII forum INAZIDI KUSHUKA hadhi kwa member kama NYIE MNAJAZA serva bila Huruma.

NAKUSIKITIKIA SANA KAMA WEWE NI MWANAUME.

KABWILI.
 
Uzi tayari?????.

JAMII forum INAZIDI KUSHUKA hadhi kwa member kama NYIE MNAJAZA serva bila Huruma.

NAKUSIKITIKIA SANA KAMA WEWE NI MWANAUME.

KABWILI.
Mwanaume ni yule ambae anapokea habari nzuri na mbaya kwa utulivu.
 
onyesha ushujaa wako, tukisema huko kwenu wenye akili ni wawili mnabisha.
kwanini usijifunze kwanini usijifunze kwa kaka zako Changaule na Tate unabaki kujaza forum kwa post za kijinga
Wewe nimekwambia tunza huu Uzi ili uje unisite, tabu yako Iko wapi?
 
Back
Top Bottom