Yaan hela kiduchu hvyo alafu no mapumziko.mmh ,maisha magumu sana.kazi kuanzia saa7 am mpaka Saa 8 pm kwa mshahara huo sio mchezo.bora afanye kazi ya umamalishe alipwe sh 3000 per day na Kula anakula hapo hapo asubuhi na mchana.Mdada/Mkaka (Sio Mmama/Mbaba) Anahitajika Kijana ambae ana muonekano wa Kijana atakae weza kufanya kazi ya Usafi na kusafisha Bidhaa zilizopo Ofisini.
Majukumu Yake ni Kuhakikisha Sakafu Safi wakati wote,Viti vya wateja,Makabati vinafutwa Vumbi wakati wote.
Ki ujumla Usafi Usafi Usafi Kauli mbiu ni Usafi.
Muda Wa Kuingia Kazini : 1:00asb
Muda Wa kutoka Kazini : 2:00usk
Hamna OFF
Hamna Week End
Hamna Siku Kuu
Mshahara 80,000
Chakula : 3,000 Utapewa Kila Siku
Office : Dar/ Kimara Mwisho
Contact : 0695 697 796 Whatsapp Only + Msg za Kawaida.
Si kasema kuna 3000 ya chakula,no easy lifeYaan hela kiduchu hvyo alafu no mapumziko.mmh ,maisha magumu sana.kazi kuanzia saa7 am mpaka Saa 8 pm kwa mshahara huo sio mchezo.bora afanye kazi ya umamalishe alipwe sh 3000 per day na Kula anakula hapo hapo asubuhi na mchana.
Naunga mkono hoja kipato kidogo sana futa uzi huo moderator aisee life hilimods futeni uzi huu .una tweza utu wa binadamu.. na una wanya nyapaa wasio na ajira
Hivi mmeshawahi Fanya kazi za Viwandani za Mishahara 3000 kwa siku? Nyie mnaoandika andika na Ku comment?
wote wana kazi na nikiwaajiri ndugu zangu mshahara naupunguza.Inawezekana hawajawahi mkuu, hawayajui maisha hao.
Unaonaje ukampa hiyo kazi mdogo wako au ndugu yako mmoja?
Usichukulie poa udhaifu wa mtu mwingine.. Ww hiyo kazi ungepewa ungeiweza? 7-8 upo kazin ni masaa mangap hayo?Hivi mmeshawahi Fanya kazi za Viwandani za Mishahara 3000 kwa siku? Nyie mnaoandika andika na Ku comment?
Sio kila muajiriwa alipanda ngazi, kauli hii futaachana na hao watoto waliomaliza chuo wakaajiriwa kwa mgongo wa ndugu zao,hamna kitu wanaelewa kuhusu maisha.
Ila we jamaa🤣🤣🤣Inawezekana hawajawahi mkuu, hawayajui maisha hao.
Unaonaje ukampa hiyo kazi mdogo wako au ndugu yako mmoja?
Haiwezkn wote wakawa na kaziwote wana kazi na nikiwaajiri ndugu zangu mshahara naupunguza.
Umekuja kufanya kazi kwangu sio kuvuna pesa, Make Your Money kisha nenda kaizalishe na wewe uajiri watu uwalipe wanavyotaka wao.