lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Jaribu kujali utu mkuu
Hawa ndio aina ya watu hata akiwa na housemaid hamruhusu kuangalia TV wala kula mezani pamoja na familia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kujali utu mkuu
ninaekuajiri sipumziki nipo kazini siku zote masaa yote jicho kwa jicho,nikupe wewe off uende wapi? hayo mapunziko kwani binafsi siyataki?Usichukulie poa udhaifu wa mtu mwingine.. Ww hiyo kazi ungepewa ungeiweza? 7-8 upo kazin ni masaa mangap hayo?
Hakuna kupumzika
80k tu
Hata kama tunatoa fursa basi tusipend kufaidika sisi na tunaowapa tuwanyonye
Mkuu ushapata mtu?Wizi haufundishwi ni tabia ya mtu
Una uhakika kweli kuwa ndugu zako wote wa koo ya baba yako na ya mama yako wapo kazini?????wote wana kazi na nikiwaajiri ndugu zangu mshahara naupunguza.
Umekuja kufanya kazi kwangu sio kuvuna pesa, Make Your Money kisha nenda kaizalishe na wewe uajiri watu uwalipe wanavyotaka wao.
KUMAAAA WEWEHivi mmeshawahi Fanya kazi za Viwandani za Mishahara 3000 kwa siku? Nyie mnaoandika andika na Ku comment?