OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Msimu uliopita wa 2023/2024 Golikipa wa Coastal Union Ley Matampi aliibuka kuwa shujaa na kuwa mlinda mlango bora wa Ligi Kuu akiwa na CleanSheet 15 huku Djigui Diarra wa Yanga akiwa na CleanSheet 14.
Mpaka sasa Spider ana cleansheet 13, maana baki mechi 1 tu amfikie Diarra kwa cleansheets za msimu wake mzima.
Unadhani amezipata kwa kubahatisha? Hapana, kando ya ubora wa muundo wa Simba katika ulinzi, kuna ubora binafsi wa Camara. Tazama ile save ya maana aliyofanya jana dakika za nyongeza. Hata refa alishahesabu goli, nikaona akitaka kugeuka kati.