Cleansheets: Diarra ni "mchumba" tu kwa Spider Man

Cleansheets: Diarra ni "mchumba" tu kwa Spider Man

Crown FM wanaiba content zetu, leo wanajadili Saves za Spider na Issue ya Marefu ambazo tulijadili jana
 
Wewe mbona mnaficha na mechi walizocheza. Camara kacheza mechi 16 Clean Sheet 13 while Diarra kacheza mechi 10 Clean Sheet 8. ,Kama hujui hesabu sema na mwasibu atakuambia nini nachomaanisha.
Lkn tunakubaliana Camara ana clean sheet nyingi au siyo,,,😁😁
 
Wewe mbona mnaficha na mechi walizocheza. Camara kacheza mechi 16 Clean Sheet 13 while Diarra kacheza mechi 10 Clean Sheet 8. Kama hujui hesabu sema na mwasibu atakuambia nini nachomaanisha.
Mimi inanihusu nini? Kwani mimi ndiye niliyemkataza asicheze?
 
Back
Top Bottom