OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Vipi kuhusu gori za coast union?UTAPROVE MASHABIKI WA ILE TIMU KUWA WENYE AKILI NI WAWILI TU.
Hawatakuja na Hoja .
Badala yake watakuja na Mitusi mitupu.
TANZANIA YANGU.
Mambo ya kusema Diarra ni mchumba kwa kipa wa Simba, huko ni kuchochea ushoga, ungetumia lugha nyingine iliyo nzuri zaidi na yenye staha. Hata kama ndiyo utani wa jadi, usiende kwenye kudhalilishana namna hiyo.View attachment 3223756
Msimu uliopita wa 2023/2024 Golikipa wa Coastal Union Ley Matampi aliibuka kuwa shujaa na kuwa mlinda mlango bora wa Ligi Kuu akiwa na CleanSheet 15 huku Djigui Diarra wa Yanga akiwa na CleanSheet 14.
Mpaka sasa Spider ana cleansheet 13, maana baki mechi 1 tu amfikie Diarra kwa cleansheets za msimu wake mzima.
Unadhani amezipata kwa kubahatisha? Hapana, kando ya ubora wa muundo wa Simba katika ulinzi, kuna ubora binafsi wa Camara. Tazama ile save ya maana aliyofanya jana dakika za nyongeza. Hata refa alishahesabu goli, nikaona akitaka kugeuka kati.
Huyo Masinga alivyojipinda kwenye huo mshuti wa mwisho, ukijipinda hivyo kunako lazima utoke na mapacha wanne.View attachment 3223756
Msimu uliopita wa 2023/2024 Golikipa wa Coastal Union Ley Matampi aliibuka kuwa shujaa na kuwa mlinda mlango bora wa Ligi Kuu akiwa na CleanSheet 15 huku Djigui Diarra wa Yanga akiwa na CleanSheet 14.
Mpaka sasa Spider ana cleansheet 13, maana baki mechi 1 tu amfikie Diarra kwa cleansheets za msimu wake mzima.
Unadhani amezipata kwa kubahatisha? Hapana, kando ya ubora wa muundo wa Simba katika ulinzi, kuna ubora binafsi wa Camara. Tazama ile save ya maana aliyofanya jana dakika za nyongeza. Hata refa alishahesabu goli, nikaona akitaka kugeuka kati.
Mlimpamba hivi hivi akarukia faulp ya chama iliyokuwa inatoka nje akairudisha ndani na mkaanza kujiliza hadi vile viajuza vyenu vililia. πππView attachment 3223756
Msimu uliopita wa 2023/2024 Golikipa wa Coastal Union Ley Matampi aliibuka kuwa shujaa na kuwa mlinda mlango bora wa Ligi Kuu akiwa na CleanSheet 15 huku Djigui Diarra wa Yanga akiwa na CleanSheet 14.
Mpaka sasa Spider ana cleansheet 13, maana baki mechi 1 tu amfikie Diarra kwa cleansheets za msimu wake mzima.
Unadhani amezipata kwa kubahatisha? Hapana, kando ya ubora wa muundo wa Simba katika ulinzi, kuna ubora binafsi wa Camara. Tazama ile save ya maana aliyofanya jana dakika za nyongeza. Hata refa alishahesabu goli, nikaona akitaka kugeuka kati.
Angetumia hata neno pazia au sioMambo ya kusema Diarra ni mchumba kwa kipa wa Simba, huko ni kuchochea ushoga, ungetumia lugha nyingine iliyo nzuri zaidi na yenye staha. Hata kama ndiyo utani wa jadi, usiende kwenye kudhalilishana namna hiyo.
Binadamu hujifunza kutokanana makosaMlimpamba hivi hivi akarukia faulp ya chama iliyokuwa inatoka nje akairudisha ndani na mkaanza kujiliza hadi vile viajuza vyenu vililia. πππ
Hata chujio sio mbayaAngetumia hata neno pazia au sio
Nenda kwenye jukwaa la siasa mkuu huku hapakufaiMambo ya kusema Diarra ni mchumba kwa kipa wa Simba, huko ni kuchochea ushoga, ungetumia lugha nyingine iliyo nzuri zaidi na yenye staha. Hata kama ndiyo utani wa jadi, usiende kwenye kudhalilishana namna hiyo.
Msimu upi?Mwisho wa msimu mtachukua kombe la clean sheet kama lile la kiatu cha Saido
Chagua msimu wowoteMsimu upi?