OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #21
Au kibogoyoHata chujio sio mbaya
Wewe mbona mnaficha na mechi walizocheza. Camara kacheza mechi 16 Clean Sheet 13 while Diarra kacheza mechi 10 Clean Sheet 8. Kama hujui hesabu sema na mwasibu atakuambia nini nachomaanisha.Diarra ni mchumba tu kwa camara. Clean sheet 13 kwa 8 tofauti clean sheet 5.
Sawa.una jingine! Upate msaada!Mwisho wa msimu mtachukua kombe la clean sheet kama lile la kiatu cha Saido
Lkn tunakubaliana Camara ana clean sheet nyingi au siyo,,,ππWewe mbona mnaficha na mechi walizocheza. Camara kacheza mechi 16 Clean Sheet 13 while Diarra kacheza mechi 10 Clean Sheet 8. ,Kama hujui hesabu sema na mwasibu atakuambia nini nachomaanisha.
Ndio maana nikakwambia muulize mwasibu akuelekeze hesabu za uwianoLkn tunakubaliana Camara ana clean sheet nyingi au siyo,,,ππ
Mimi inanihusu nini? Kwani mimi ndiye niliyemkataza asicheze?Wewe mbona mnaficha na mechi walizocheza. Camara kacheza mechi 16 Clean Sheet 13 while Diarra kacheza mechi 10 Clean Sheet 8. Kama hujui hesabu sema na mwasibu atakuambia nini nachomaanisha.
Eti tahira [emoji23][emoji1787][emoji1787]Tahira katika moja na mbili!!.