Clear Offside kabisa

Clear Offside kabisa

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Sema hili Goal la 2 la Azam lilikuwa Clear Offside sijui kwanini Kibendera alikaa kimya na alikuwa palepale🚮🚮

Mechi ya pili mfululizo azam wanaifunga yanga goli la offside,,,,mechi ya mzunguko wa kwanza ilikuwa hivi hivi

20240317_235330.jpg
20240317_235344.jpg
 
Sema hili Goal la 2 la Azam lilikuwa Clear Offside sijui kwanini Kibendera alikaa kimya na alikuwa palepale🚮🚮

Mechi ya pili mfululizo azam wanaifunga yanga goli la offside,,,,mechi ya mzunguko wa kwanza ilikuwa hivi hivi

View attachment 2937654View attachment 2937655
Aliyesababisha tukafungwa ni Kibabage jinga kabisa aende Simba huko walikotuma offer. Mchezaji badala ya kukaba ananyoosha mikono Offside, wala usingekuwa unalalamika. Beki anatakiwa kukaba hadi mwisho.
 
Upumbavu mkubwa wa mashabiki wa bongo ni kulaumu waamuzi wakienda kinyume na timu zao tu.

Huyu mwanzisha mada amesahau namna yanga walivyomfunga azam msimu uliopita kwa mpira uliotokea nje dhahiri na refa hawakumuona mapungufu game ikaisha kwa sare ya mbili mbili?

Huyu mwanzisha mada hakuona mpira ulioingia nyavuni kwa yanga refa akasema kona?

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Ukisema goli walilo fungwa Yanga halikua offside unapata wapi jeuri ya kukataa goli la Aziz k.
Kama una angalia wakati pasi ya mwisho inatoka mfungaji alikua wapi.
 
Back
Top Bottom