Clear Offside kabisa

Clear Offside kabisa

Bado Mamelodi, vyura kazi mnayo mwezi huu.
223ebb6e37584f9cb4c9a660b226bd30.jpg
 
Aliyesababisha tukafungwa ni Kibabage jinga kabisa aende Simba huko walikotuma offer. Mchezaji badala ya kukaba ananyoosha mikono Offside, wala usingekuwa unalalamika. Beki anatakiwa kukaba hadi mwisho.
Sasa simba inakujaje hapa? Mmevurugwaa vibayaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sipendi huu upuuzi wa visababu vya kijinga Tumefungwa tumefungwa! tuache kuliongelea hili swala
Mimi nasikia hasira sanasana nikikumbuka sura ya feitoto baada ya kufunga goal.[emoji37]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema hili Goal la 2 la Azam lilikuwa Clear Offside sijui kwanini Kibendera alikaa kimya na alikuwa palepale[emoji706][emoji706]

Mechi ya pili mfululizo azam wanaifunga yanga goli la offside,,,,mechi ya mzunguko wa kwanza ilikuwa hivi hivi

View attachment 2937654View attachment 2937655
ndio ni clear offside,lakini ndio hivyo hata sisi yanga kuna magoli tuliwahi kupewa ambayo ni clear offside,na huo ndio mpira maana marefa ni wanadamu
 
ndio ni clear offside,lakini ndio hivyo hata sisi yanga kuna magoli tuliwahi kupewa ambayo ni clear offside,na huo ndio mpira maana marefa ni wanadamu
Mkuu acha tu ya offside kuna goli mliwafunga azam lomalisa aliweka cross mpira ulikuwa umeshatoka nje ya mstari..
 
Back
Top Bottom