Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Sasa si ni Clear Offside kabisa 🥶Sawa
Angalia vizuri View attachment 2937656
🤣😁Sio kweliKatoka nyuma kawapita mabeki wa Yanga
Sawa
Angalia vizuri View attachment 2937656
Mkishafungwa hamkosi sababu[emoji23]Sema hili Goal la 2 la Azam lilikuwa Clear Offside sijui kwanini Kibendera alikaa kimya na alikuwa palepale[emoji706][emoji706]
Mechi ya pili mfululizo azam wanaifunga yanga goli la offside,,,,mechi ya mzunguko wa kwanza ilikuwa hivi hivi
View attachment 2937654View attachment 2937655
Aliyesababisha tukafungwa ni Kibabage jinga kabisa aende Simba huko walikotuma offer. Mchezaji badala ya kukaba ananyoosha mikono Offside, wala usingekuwa unalalamika. Beki anatakiwa kukaba hadi mwisho.Sema hili Goal la 2 la Azam lilikuwa Clear Offside sijui kwanini Kibendera alikaa kimya na alikuwa palepale🚮🚮
Mechi ya pili mfululizo azam wanaifunga yanga goli la offside,,,,mechi ya mzunguko wa kwanza ilikuwa hivi hivi
View attachment 2937654View attachment 2937655
Ndivyo hiviSawa
Angalia vizuri View attachment 2937656
Excuse excuse excuse, kubali mmeshindwa mjipange next matchSawa
Angalia vizuri View attachment 2937656
Sema hili Goal la 2 la Azam lilikuwa Clear Offside sijui kwanini Kibendera alikaa kimya na alikuwa palepale🚮🚮
Mechi ya pili mfululizo azam wanaifunga yanga goli la offside,,,,mechi ya mzunguko wa kwanza ilikuwa hivi hivi
View attachment 2937654
View attachment 2937655