Clear Offside kabisa

Aliyesababisha tukafungwa ni Kibabage jinga kabisa aende Simba huko walikotuma offer. Mchezaji badala ya kukaba ananyoosha mikono Offside, wala usingekuwa unalalamika. Beki anatakiwa kukaba hadi mwisho.
Sasa simba inakujaje hapa? Mmevurugwaa vibayaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sipendi huu upuuzi wa visababu vya kijinga Tumefungwa tumefungwa! tuache kuliongelea hili swala
Mimi nasikia hasira sanasana nikikumbuka sura ya feitoto baada ya kufunga goal.[emoji37]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ndio ni clear offside,lakini ndio hivyo hata sisi yanga kuna magoli tuliwahi kupewa ambayo ni clear offside,na huo ndio mpira maana marefa ni wanadamu
 
ndio ni clear offside,lakini ndio hivyo hata sisi yanga kuna magoli tuliwahi kupewa ambayo ni clear offside,na huo ndio mpira maana marefa ni wanadamu
Mkuu acha tu ya offside kuna goli mliwafunga azam lomalisa aliweka cross mpira ulikuwa umeshatoka nje ya mstari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…