Clearing and Forwarding service

Clearing and Forwarding service

Clearing Agent

New Member
Joined
Jun 28, 2019
Posts
2
Reaction score
92
Je umeagiza gari lako nje ya inchi na unahitaji msaada wa kutolewa bandarini kwa haraka na bei nafuu? Tazama bei zetu za utoaji Magari bandarini na ukipenda tupigie, punguzo lipo na km aina ya gari lako halipo basi uliza.. Pia tunatoa MAKONTENA na mizigo yote inayopitia Airport na Mpaka wa TUNDUMA.
1: IST - 750,000/=
2: HARRIER New-900,000
3: HARRIER Old-800,000/
4: RAV 4 - 800,000/=
5: RAUM - 750,000/=
6: SPACIO - 750,000/=
7: PASSO - 750,000/=
8: VITZ - 700,000/=
9: PREMIO - 750,000/=
10: ALTEZA - 750,000/=
11: SUBARU - 750,000/=
12: CARINA - 750,000/=
13:COASTER-1,760,000/=
14: CANTER- 1,300,000/=
----------------------------------------
Gharama hizi zinahusisha malipo ya
1: Port Charges
2: Shipping Line
3: Walfage
4: Agent Fee
5: Plate no + Registration
----------------------------------------
Text/Piga 0653953900
Company: DN holdings
Location: Nkurumah st
Dar es salaam, Tanzania
20190904_111532.jpeg
20190904_111503.jpeg
20190904_111442.jpeg
IMG-20190902-WA0023.jpeg
 
Mkuu sorry Kuna kitu nahitaji kufahamu.
Kwa mfano mtu akiagiza gari kutoka nje na likafika bandarini.
Akishakulipa hiyo gharama yako ya laki 8 au 9 je Kuna gharama zipi nyingine atatakiwa kuzilipa ili clearances zote zikamilike na ije mtaani?
 
Unalipa ushiru kutokana na thamani ya gari lako au mzigo wako na unalipa hizo gharama basi mali inatoka
Mfano:
Nimekuta gari ni IST mtandano inauzwa ni dollars 2000 na ya mwaka 2009 na rangi yake ni nyeupe mpaka nakamata mkononi natakiwa niandae ngapi? Nyingine apo
 
Ahsante kwa maelekezo mazuri kabsa na Honda CR-V gharama yake ni sh? kingine, ukiagiza gari unajuaje kama limefika bandarini?
 
Honda CVR ile ya zaman au hizi mpya? Maana kila moja na bei yake but pia ukiagiza gari wale waliokuuzia wanakutumia email ambayo itaonesha gari lako limebebwa na meli fulani na tar ya meli hyo kufika kwny bandari husika ambapo unashushia gari yako. Kk unaswali tena kalibu
Ahsante kwa majibu lkn kama ungesema cvr ya zamani ni tsh.....
na mpya ni tsh.... ungekuwa umenijibu
 
Mimi nina maswali haya
Kwenye Kununua gari unalipia CIF maana yake
Cost of a good, Insurance of a Good and Freight of a good
Maana yake hata kusafirisha hadi final destination iko calculated humo.

Swali

Inakuwaje mnatoza shipping fee tena wakati ishatozwa humo tayari?


Kwenye kulipia Kodi kuna gharama za Registration ambazo ukishalipa kodi unakuwa ushalila Registration inakuwaje tena wewe unaunganisha Registration kwenye tozo zako?

Bandari inatoa siku 7 za bure bila kutoza wharfage *utanisahihisha*

Inakuwaje tena hizo gharama zinakuwa ndani wakati gari inaweza toka kabla ya hizo siku 7 kuisha?

Je ikitokea mi nimekamilisha yote nataka nyinyi muitoe tu inakuwa gharama gani kwa Alphard?
 
Back
Top Bottom