Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Dharau hizo mkuu!JWTZ, POLISI na hao USALAMA WA TAIFA binafsi nawaona matapeli tuu mana wakiwepo nchini wanajifanya mahodari wa usalama Ila ukiwapeleka vitani wanauawa kama sisimizi.
Kanishtaki kwaoDharau hizo mkuu!
Mimi huyo!Kanishtaki kwao
YuleMimi huyo!
Ni usalama wa CcM. TISSCCMUnaweza kusema jitu la msituni Clemence Mwandambo mr Teacher anaendelea kupiga kwenye mshono mbichi kabisa!
Leo kaja ya kuhoji kazi ya usalama wa taifa, kwamba usalama wa taifa ni kwaajili ya taifa au ni usalama wa wananasiasa? na anasema kama ni usalama wa wanasiasa kwa nini waitwe usalama wa taifa.
Maanake ufisadi ukitendeka katika taifa awajihusishi, wizi ukitendekea awajihusishi. Ila wanajihusisha na usalama wa wanasiasa.