PostGE2025 Clemence Mwandambo: Nipo CCM lakini nina roho ya 'Upinzani'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwanamitandao Maarufu Clemence Mwandambo (Baba Yenu Mwandambo) amesema kwa sasa yeye ni kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini ndani yake ana roho ya upinzani

Ameeleza kuwa yeye ni mzalendo hivyo kuna mambo akiyaona hayapo sawa hivyo hawezi kuyakalia kimya atayapinga.

"Nina kadi ya Chama cha Mapinduzi lakini karoho ka upinzani kamo"

Amesema alijiunga na CCM wakati wa hayati John Magufuli alipokuwa Rais huku akisisitiza yeye ni mzalendo wa nchi na sio mzalendo wa chama.

Credit: Jambo TV
 
Maafisa kipenyo ni rahisi sana kuwajua. Sijuagi kwa nini watu wanakuwa rahisi kurubunika. Huyu nilishamuona kitambo sana.
 
Mwanamitandao Maarufu Clemence Mwandambo (Baba Yenu Mwandambo) amesema kwa sasa yeye ni kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini ndani yake ana roho ya upinzani

Ameeleza kuwa yeye ni mzalendo hivyo kuna mambo akiyaona hayapo sawa hivyo hawezi kuyakalia kimya atayapinga.

"Nina kadi ya Chama cha Mapinduzi lakini karoho ka upinzani kamo"

Amesema alijiunga na CCM wakati wa hayati John Magufuli alipokuwa Rais huku akisisitiza yeye ni mzalendo wa nchi na sio mzalendo wa chama.

View attachment 3529060
Credit: Jambo TV
Huyu ameshachanganyikiwa
 
Kwisha habari yake!!
 
Kwa hiyo jpm bado anatoa amri huko alipo?

..ukatili unaoendelea sasa hivi ni kwasababu ya uongozi na maamuzi ya Ssh.

..unajua labda wengi wenu ni vijana, kwa hiyo hamjui tofauti za tawala za Ssh,Jpm,Jk,Bwm,Ahm, na mahusiano yao na wanaharakati na wapinzani.

..unyama na udhalimu umekuwepo kwa miaka mingi, lakini ktk tawala za Jpm, na Ssh, mambo hayo yamekuwa yakifanywa kwa UWAZI na KIWANGO KIKUBWA kuliko watangulizi wao.
 
Back
Top Bottom