Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwa hiyo jpm bado anatoa amri huko alipo?..kama aliingia Ccm kwa kumfuata Jpm basi ana matatizo makubwa.
..Jpm alikuwa dhalimu na muuwaji.
..yanayoendelea ktk utawala wa Ssh yaliasisiwa na Jpm.
Mkuu umenena vyema, huyu ni tapeli tu...kama aliingia Ccm kwa kumfuata Jpm basi ana matatizo makubwa.
..Jpm alikuwa dhalimu na muuwaji.
..yanayoendelea ktk utawala wa Ssh yaliasisiwa na Jpm.
Dah you make my day ,ahsante sijacheka toka kumekucha baada ya bia yangu kumwaga na paka wangu ila kwa hili umenifanya nicheke kama kichaaMachawa wanamuuguza Lucy mkatoliki wa Bluetooth wakimaliza kumkorogea uji watajazana hapa muda sio mrefu
Tapeli wa kitu ganiMkuu umenena vyema, huyu ni tapeli tu.
Huyu ameshachanganyikiwaMwanamitandao Maarufu Clemence Mwandambo (Baba Yenu Mwandambo) amesema kwa sasa yeye ni kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini ndani yake ana roho ya upinzani
Ameeleza kuwa yeye ni mzalendo hivyo kuna mambo akiyaona hayapo sawa hivyo hawezi kuyakalia kimya atayapinga.
"Nina kadi ya Chama cha Mapinduzi lakini karoho ka upinzani kamo"
Amesema alijiunga na CCM wakati wa hayati John Magufuli alipokuwa Rais huku akisisitiza yeye ni mzalendo wa nchi na sio mzalendo wa chama.
View attachment 3529060
Credit: Jambo TV
Tumia akili yako ujijibu mwenyeweKwa hiyo jpm bado anatoa amri huko alipo?
Kwisha habari yake!!Mwanamitandao Maarufu Clemence Mwandambo (Baba Yenu Mwandambo) amesema kwa sasa yeye ni kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini ndani yake ana roho ya upinzani
Ameeleza kuwa yeye ni mzalendo hivyo kuna mambo akiyaona hayapo sawa hivyo hawezi kuyakalia kimya atayapinga.
"Nina kadi ya Chama cha Mapinduzi lakini karoho ka upinzani kamo"
Amesema alijiunga na CCM wakati wa hayati John Magufuli alipokuwa Rais huku akisisitiza yeye ni mzalendo wa nchi na sio mzalendo wa chama.
View attachment 3529060
Credit: Jambo TV
Kwa hiyo jpm bado anatoa amri huko alipo?