Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Clemence Mwandambo ameendelea kuwasha moto, hajapoa hata kidogo
Leo kupitia ukurasa wake wa Instagram amehoji TAKUKURU wanayatambua kweli majukumu yao, maana wao wamekuwa ni watu wa kupokea oda kutoka kwa wanasiasa wakati kuna wala rushwa kibao na mafisadi.
Sielewi hii TAKUKURU ipo kwaajili ya nini? Yani wanasubiri mpaka mwanasiasa aseme kamata yule bila hivyo hawana kazi , CAG anatoa taarifa MaTAKUKURU yanakaa tu ofisini hakuna hata kazi wanayoifanya halafu mnasema wananchi wanahasira za kijinga wakati kunamijitu inakula kodi zetu hakuna kinachoendelea Amesema Clemence Mwandambo