Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mwanamtandao Clemence Mwandambo ameweka bayana kuwa anampenda rais Samia na kazi zake zote, na hakubaliani na wanaosema kuwa 'Samia Must Go', amehoji kuwa sasa ndo amekwishaondoka, je hapo kwenye Urais atawekwa nani? Ameongeza kuwa utakuta anayesema hivyo ni kibaka wa Kinondoni ambaye hata rais akiondoka yeye hawezi kwenda Ikulu.