Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
No one will be worse than that fazafaka!Wanaosema 'Samia must go', tunamuweka nani pale?
Mbwa can do better!Wanaosema 'Samia must go', tunamuweka nani pale?
Wakati Nyerere alipotaka kung'atuka. Watu waliingiwa wasiwasi kuhusu mrithi wake. Lakini yeye aliwauliza wananchi.Wanaosema 'Samia must go', tunamuweka nani pale?
Wanaosema 'Samia must go', tunamuweka nani pale?
Hata jiwe linatoshaWanaosema 'Samia must go', tunamuweka nani pale?
Hapo ni Tundu lissu tu hao wengine hawataweza chomoka kwenye mifumo ya hovyoKasimu majaliwa,Dotto biteko, Simbachawene na Lissu tu ndio ninaowaelewa kwa sasa.
Wewe hutoshi kiongozi?Mwanamtandao Clemence Mwandambo ameweka bayana kuwa anampenda rais Samia na kazi zake zote, na hakubaliani na wanaosema kuwa 'Samia Must Go', amehoji kuwa sasa ndo amekwishaondoka, je hapo kwenye Urais atawekwa nani? Ameongeza kuwa utakuta anayesema hivyo ni kijana mvuta bangi wa Kinondoni ambaye hata rais akiondoka yeye hawezi kwenda Ikulu.
uko sahihi kabisa mkuu.Hapo ni Tundu lissu tu hao wengine hawataweza chomoka kwenye mifumo ya hovyo
Bora hata kuweka kifurushi cha mavi badala ya hilo shankupe jizi zero brain.Mwanamtandao Clemence Mwandambo ameweka bayana kuwa anampenda rais Samia na kazi zake zote, na hakubaliani na wanaosema kuwa 'Samia Must Go', amehoji kuwa sasa ndo amekwishaondoka, je hapo kwenye Urais atawekwa nani? Ameongeza kuwa utakuta anayesema hivyo ni kibaka wa Kinondoni ambaye hata rais akiondoka yeye hawezi kwenda Ikulu.
Hata kibaka wa kinondoni anaweza kuwa Bora zaidi akipewa nafasiMwanamtandao Clemence Mwandambo ameweka bayana kuwa anampenda rais Samia na kazi zake zote, na hakubaliani na wanaosema kuwa 'Samia Must Go', amehoji kuwa sasa ndo amekwishaondoka, je hapo kwenye Urais atawekwa nani? Ameongeza kuwa utakuta anayesema hivyo ni kibaka wa Kinondoni ambaye hata rais akiondoka yeye hawezi kwenda Ikulu.
Kama anaona kuwa katika Watanganyika zaidi ya milioni 60 hakuna mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanganyika ila ni huyo muuaji wa kizanzibari basi huyo Mwandambo ni mpumbavu kama walivyo wanaccm wengiMwanamtandao Clemence Mwandambo ameweka bayana kuwa anampenda rais Samia na kazi zake zote, na hakubaliani na wanaosema kuwa 'Samia Must Go', amehoji kuwa sasa ndo amekwishaondoka, je hapo kwenye Urais atawekwa nani? Ameongeza kuwa utakuta anayesema hivyo ni kibaka wa Kinondoni ambaye hata rais akiondoka yeye hawezi kwenda Ikulu.