Clemence Mwandambo: Wanaosema 'Samia Must Go', tunamuweka nani pale?

Wanataka aje Mzungu mmoja kutoka EU awe Rais wa mpito. Wana akili za kitumwa sana hawa waungwana wa CHADEMA.
 
We una akili kweli mkuu? Kuna vichwa kibao vinafaa. Tatizo wenye uwezo huwa hawapewi nafasi kwenye hii inchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…