Tena wanawaza wampe na nani kama nyongeza.Yanga wanabubujikwa na machozi ya furaha wayasikiapo haya
hater pro max nzengeliRada wa nyokk..
Subutuuuu, in Majito voiceWydad Casablanca Wameongeza kasi yao kuinasa Saini Mshambuliaji Kinda wa Tanzania na Yanga Africa Clement Mzize
Offer ya Wydad Casablanca kwa Clement Mzize inatajwa ni 1.8B Salary+Signing on fees on 3 years contract
Clement Mzize kwenye mikono ya Rhulani Mokwena.
View attachment 3063060