Tetesi: Clement Mzize huyu hapa kwenye rada ya Wydad Casablanca ✅

Tetesi: Clement Mzize huyu hapa kwenye rada ya Wydad Casablanca ✅

Mzizee mwenyewee sasaaa🤣🤣watajuta maana yee akifika ndani ya 18 ya adui hugeuka kua beki wa Timu pinzanii anabutua puuuuu......ni machachalii🤣🤣
 
Huyu kijana wwetu Mzize yupo vizuri sana na bado ana umri mdogo. Akiendelea na jitihada za kujiyuma zaidiatafika mbali sana. Yanga wamruhusu dogo akakuze kipaji na kupata mkwanja wa maana.
 
Auzwe tupate pesa ya kuwachukua wakina Pacome wengine..
Auzwe tupate pesa ya kwenda kutafuta akina pacome wengine huko kwenye viunga vya west Africa na sio kuwekeza kwenye development structure hili tupate akina pacome wa hapa hapa Tanzania au sio? Basi sawa
 
Back
Top Bottom