Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Kama Nabi ataendelea kuwepo Yanga na kutopewa timu ya Timu ya Taifa, ipo siku huyu Clement Mzize atachezea timu kubwa barani Afrika au Ulaya.
Uwepo wa Top Strikers kama Mayele na Musonda unamuimarisha katika ushindani wa hali ya juu sana Mzize.
Kukosa penati jambo la kawaida Clement Mzize is the best kwa umri wake aendelee kupewa penati, aendelee kukosea na siku atakosa hata kwenye mechi ngumu ya kimaamuzi ila itamjenga zaidi, heavy is the head that wears the crown, bright future ahead kwake.