Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
aanze na kuitwa national team sio kutuletea takataka za kina bocco
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ndio story mnazopenda. Wanaomfahamu kina nani hao watupe ushahidiSio kibongo bongo mkuu, wanaomfahamu wanasema kamaliza form 4 2015 na kapiga bodaboda miaka ya kutosha,, huyo jamaa sio chini ya 26
Tukubaliane kamaliza F4 mwaka 2015 akiwa na 17 yrs + 7 ni 24. Umefurahi?Sio kibongo bongo mkuu, wanaomfahamu wanasema kamaliza form 4 2015 na kapiga bodaboda miaka ya kutosha,, huyo jamaa sio chini ya 26
Mkuu unamkadiria umri wa mtu kwa kutizama sura yake? Yule Yousufa Moukoko unaweza sema ana chini ya 20? Jeremie Boga na huyu Boga toka anaanza kacheza timu za vijana Chelsea naye wangeamua kuangalia surasi wangemkataa?Sasa povu lote hilo la nn kwani suala la wachezaji kudanganya umri ni jambo geni barani Afrika?
Kwani wao wanakula chakula gani ambacho ss hatuli?
Hao akina mbape unao wasema wana miili mikubwa lakini ukiangalia sura zao tu unajua kuwa ni wadogo kiumri.
Huyo Mzinze hata angekuwa ana mwili mdogo bado sura na ndevu zake zilivyo komaa vinamuumbua jinsi alivyo mkubwa.
Huyo mshikaji kwa kumuangalia umri wake si chini ya 25 ila kwa soka la kiafrika kwa umri huo bado ni mdogo akijitambua ana nafasi ya kufika bali.
Kama ni Nonda Shabaan hakutokea yanga, alienda South AfricaWaliofika mbali Simba wa ngapi? na walifika wapi.
Yanga ishatoa mchezaji aliye cheza fainali ya UEFA ulaya.
Lkn alipita Yanga.Kama ni Nonda Shabaan hakutokea yanga, alienda South Africa
Mkuu hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa kumtetea mzinze maana suala la wachezaji wa kiafrika kudanganya umri ni kitu cha kawaida sana na tumesha zoea na kuona ni kitu cha kawaida, haiwezekani mtu mwenye muonekano kama wa mzinze akawa chini ya miaka 20.Mkuu unamkadiria umri wa mtu kwa kutizama sura yake? Yule Yousufa Moukoko unaweza sema ana chini ya 20? Jeremie Boga na huyu Boga toka anaanza kacheza timu za vijana Chelsea naye wangeamua kuangalia surasi wangemkataa?
Hakuna anaemtetea. Mi natumia muda wangu kukuelewesha naona wewe ndio unatumia nguvu kubwa kupotosha.Mkuu hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa kumtetea mzinze maana suala la wachezaji wa kiafrika kudanganya umri ni kitu cha kawaida sana na tumesha zoea na kuona ni kitu cha kawaida, haiwezekani mtu mwenye muonekano kama wa mzinze akawa chini ya miaka 20.
Kama Nabi ataendelea kuwepo Yanga na kutopewa timu ya Timu ya Taifa, ipo siku huyu Clement Mzize atachezea timu kubwa barani Afrika au Ulaya.
Kama Nabi ataendelea kuwepo Yanga na kutopewa timu ya Timu ya Taifa, ipo siku huyu Clement Mzize atachezea timu kubwa barani Afrika au Ulaya.
Yaani kinyesi fc unafananisha bocco na mzinze???dah kazi ipoaanze na kuitwa national team sio kutuletea takataka za kina bocco