Clement Mzize ni hazina ya Taifa ni suala la muda tu!

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Kama Nabi ataendelea kuwepo Yanga na kutopewa timu ya Timu ya Taifa, ipo siku huyu Clement Mzize atachezea timu kubwa barani Afrika au Ulaya.

Uwepo wa Top Strikers kama Mayele na Musonda unamuimarisha katika ushindani wa hali ya juu sana Mzize.

Kukosa penati jambo la kawaida Clement Mzize is the best kwa umri wake aendelee kupewa penati, aendelee kukosea na siku atakosa hata kwenye mechi ngumu ya kimaamuzi ila itamjenga zaidi, heavy is the head that wears the crown, bright future ahead kwake.

Hadhina [emoji777]hazina[emoji736]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hahahah eti kwa umri wake, mkuu, mzize sio chini ya miaka 25 yani ana umri sawa na Azizi Ki.. hakuna cha hazina hapo, huu ndo muda wake maana umri umemtupa mkono
 
Hahahah eti kwa umri wake, mkuu, mzize sio chini ya miaka 25 yani ana umri sawa na Azizi Ki.. hakuna cha hazina hapo, huu ndo muda wake maana umri umemtupa mkono
Kwa africa bado kinda sana.

Zlatan ibrahimovic anamzidi onyango miaka 12

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa ni mtafuta magoli mzuri tu. Akiendelea hivi atafika mbali. Sema tu nje ya uwanja aache ustaa wa sijui kupaka piko, kiduku, etc. Hizo hajafikia bado na huenda zikambadilisha tabia.
 
Akitaka afike mbali aende Simba. Uto hawaachiki Kirahisi. Ajifunze Kwa akina Ngasa, Tegete na sasa Feisal.
 
Hahahah eti kwa umri wake, mkuu, mzize sio chini ya miaka 25 yani ana umri sawa na Azizi Ki.. hakuna cha hazina hapo, huu ndo muda wake maana umri umemtupa mkono
Wewe ni mama ake? Ulizaliwa naye? Hebu acheni kubeba mizigo isiyo wahusu. Mnasahau hawa na athletts wanafanya mazoezi na kula vyakula ivyo inawapelekea kuonekana wakubwa kimaumbo kuliko umri wao.

Refer Mbappe, Bellingham, Haalland, Upamecano, De Ligt hawa jamaa kwa mara ya kwanza ukiwaona huwezi sema walikua under 20 kwa performances zao uwanjani. Sijasema Mzize ni u20 ila huyu dogo havuki 22
 
Akitaka afike mbali aende Simba. Uto hawaachiki Kirahisi. Ajifunze Kwa akina Ngasa, Tegete na sasa Feisal.
Waliofika mbali Simba wa ngapi? na walifika wapi.

Yanga ishatoa mchezaji aliye cheza fainali ya UEFA ulaya.
 
Niliona wadau wanauliza lini kacheza timu ya vijana walipoenda Mali
 
Sasa povu lote hilo la nn kwani suala la wachezaji kudanganya umri ni jambo geni barani Afrika?

Kwani wao wanakula chakula gani ambacho ss hatuli?

Hao akina mbape unao wasema wana miili mikubwa lakini ukiangalia sura zao tu unajua kuwa ni wadogo kiumri.

Huyo Mzinze hata angekuwa ana mwili mdogo bado sura na ndevu zake zilivyo komaa vinamuumbua jinsi alivyo mkubwa.

Huyo mshikaji kwa kumuangalia umri wake si chini ya 25 ila kwa soka la kiafrika kwa umri huo bado ni mdogo akijitambua ana nafasi ya kufika bali.
 
Sio kibongo bongo mkuu, wanaomfahamu wanasema kamaliza form 4 2015 na kapiga bodaboda miaka ya kutosha,, huyo jamaa sio chini ya 26
 
Hahahah eti kwa umri wake, mkuu, mzize sio chini ya miaka 25 yani ana umri sawa na Azizi Ki.. hakuna cha hazina hapo, huu ndo muda wake maana umri umemtupa mkono
Wacha umbeya wewe, Mzize ni mchezaji wa Yanga sc u-20 kapandishwa timu ya senior this season. No research no right to speak, keep your mouth shut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…