Clement Mzize ni hazina ya Taifa ni suala la muda tu!

Watu wanaongelea vitu vingi sana vinavyorudisha nyuma soka la Africa lakini moja ya vitu hvyo ni ushirikina hyo dogo ni mzuri nadhani Tanzania hakuna mawakala wazuri ila kama kungekuwa na mawakala wazuri basi angekuwa njee mda huu anasakata kabumbu
Kulikuwa na miraj athumani na Rashid juma walipigwa dawa wakakaa nje na safari yao kwenye soka la kulipwa ikaishia hapo dogo inabidi ajipange sana.
 
Sio kibongo bongo mkuu, wanaomfahamu wanasema kamaliza form 4 2015 na kapiga bodaboda miaka ya kutosha,, huyo jamaa sio chini ya 26
Hizo ndio story mnazopenda. Wanaomfahamu kina nani hao watupe ushahidi
 
Sio kibongo bongo mkuu, wanaomfahamu wanasema kamaliza form 4 2015 na kapiga bodaboda miaka ya kutosha,, huyo jamaa sio chini ya 26
Tukubaliane kamaliza F4 mwaka 2015 akiwa na 17 yrs + 7 ni 24. Umefurahi?
 
Mkuu unamkadiria umri wa mtu kwa kutizama sura yake? Yule Yousufa Moukoko unaweza sema ana chini ya 20? Jeremie Boga na huyu Boga toka anaanza kacheza timu za vijana Chelsea naye wangeamua kuangalia surasi wangemkataa?
 
Angusha simu popote, Ila usiombe uiangushe alipo bubu.Kisha bubu ahisi kwamba hata akiongea kama wanavyoongega mabubu ataeleweka upande wa pili.SASA BUBU HUYU KAINUNUA KABISAAA SIMU.
 
Mkuu unamkadiria umri wa mtu kwa kutizama sura yake? Yule Yousufa Moukoko unaweza sema ana chini ya 20? Jeremie Boga na huyu Boga toka anaanza kacheza timu za vijana Chelsea naye wangeamua kuangalia surasi wangemkataa?
Mkuu hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa kumtetea mzinze maana suala la wachezaji wa kiafrika kudanganya umri ni kitu cha kawaida sana na tumesha zoea na kuona ni kitu cha kawaida, haiwezekani mtu mwenye muonekano kama wa mzinze akawa chini ya miaka 20.
 
Hakuna anaemtetea. Mi natumia muda wangu kukuelewesha naona wewe ndio unatumia nguvu kubwa kupotosha.
 
Anaotea
πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Kwa style hii basi hata kisinda pia ni wonderkid [emoji16]
 
Mchezaji unakosa penti pale???afu unaita hazina???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…