fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Nadhani alipoambiwa yeye ni mshambuliaji akajua kazi yàke ni kwenda mbele bila kujua huko mbele anapeleka nini!!Unacheza mpira bila umakini wowote ule,mradi unapangwa kucheza badi we unacheza tu.
Mechi moja unacheza vizuri me hi nyingine unacheza vibaya. Leo umecheza hovyo kabisa, umekosa magoli kijinga kabisa, hivi wewe huwa hujitathmini?
Sasa sikia anza kufanya mazoezi kwa bidii, unapokuwa na wenzio na pia uwe unaanza kufanya peke yako, ongea na washambuliaji waliostaafu wakufunze, ongea na makocha wakupe extra coaching kuhusu mbinu za kufunga, ona aibu kwa jinsi unavyocheza
mzize hajadanganya umri,na umri wako ni miaka 20 sio 18Matatizo ya kudangañya umri under 18 hiyo MAJINI FC tumvumilie
Halafu ataanza nani pale mbele mwenye fighting spirit ya juu kama yeye Mzize! (Ingawa ni kweli kuna wakati dogo anakosa utulivu na pia maamuzi sahihi).Huyu bora kocha amrudishe kwenye utaratibu ule ule wa awali wa kutokea sub.