fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Unacheza mpira bila umakini wowote ule,mradi unapangwa kucheza badi we unacheza tu.
Mechi moja unacheza vizuri me hi nyingine unacheza vibaya. Leo umecheza hovyo kabisa, umekosa magoli kijinga kabisa, hivi wewe huwa hujitathmini?
Sasa sikia anza kufanya mazoezi kwa bidii, unapokuwa na wenzio na pia uwe unaanza kufanya peke yako, ongea na washambuliaji waliostaafu wakufunze, ongea na makocha wakupe extra coaching kuhusu mbinu za kufunga, ona aibu kwa jinsi unavyocheza