Cleopatra Mukangara -Top 50 Women In Management Africa 2023

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
TOP 50 WOMEN IN MANAGEMENT AFRICA 2023

CLEOPATRA MUKANGARA (Head of strategy and software Engineering Vodacom Tanzania.

IMG-20230321-WA0200(2).jpg
IMG-20230321-WA0053.jpg
IMG-20230321-WA0051.jpg
 
Kuwa head of department Vodacom Tz ndio unakuwa top 50 Africa?..
Ni hiyo tuzo aliyoshika mkononi. Ukiona binti anafanya vizuri kwenye IT industry, ujue yuko very smart. Mpatie haki yake. Popote pale duniani, watu wote walioko kwenye IT industry ni very smart. Hata ule uvaaji wao tu wako tofauti kabisa na watu wengine, wanavaa very smart. Fanya uchunguzi
 
Huyu anastahili kujiita super woman sasa🙏🙏🙏 sio kina fudenge wakubebwa na teuzi za Pichu afu anajiita "supawuman" nyooo title Zina wenyewe hizo, congrats kwake ,so proud of her.
 
Jamii yetu huyo binti sio maarufu sababu hana matako makubwa. Marole model wa wadogo zetu ni wakina Sanchoka,Wema,Kajala nk.Ukimwona mdogo wako wakike anamfuatili na anamjua huyo binti jua hata yy kichwani yupo vizuri na anajielewa.

Kongole kwake kwa kuijua coding.
 
Huyu dada mama ake alikua waziri utawala wa Jakaya. Alipenda kusuka nywele za twende kilioni Dr Fenera PhD mwalimu UDSM.
Pia baba ake ni Prof Mukangara UDSM. Ana historia pale shule ya msingi mlimani alitengenezewa dawati lake na wazazi.
 
Nalipenda jina la Cleopatra, mwenyekazi Ana kazi, huyu dada angepata kazi ttcl ingekuwa poa Sana, hizo kazi, tigo, Airtel, voda, mishahara mikubwa, Ila fainali uzeeni, alafu ukiumwa muda mrefu kibarua kinaweza kuwa matatani.
 
Naheshimu mawazo yako ila kwa karne hii mtu kuishi uku ukiwaza kuja ktegemea kiinua mgongo naona ni ujinga uliopitiliza, binafsi bora kazi ya mkataba yenye mshahara unaoeleweka kuliko kutumikia hizo TGS sijui TSD E
 
Huyu dada mama ake alikua waziri utawala wa Jakaya. Alipenda kusuka nywele za twende kilioni Dr Fenera PhD mwalimu UDSM.
Pia baba ake ni Prof Mukangara UDSM. Ana historia pale shule ya msingi mlimani alitengenezewa dawati lake na wazazi.
Inaonekana yoka kitambo yuko nje yq box tu... system sytem sa toka enzi za primary ana private desk fron home it means wazazi wamemtengenezea misingi yoka enzi
 
Naheshimu mawazo yako ila kwa karne hii mtu kuishi uku ukiwaza kuja ktegemea kiinua mgongo naona ni ujinga uliopitiliza, binafsi bora kazi ya mkataba yenye mshahara unaoeleweka kuliko kutumikia hizo TGS sijui TSD E
Kwa mawazo yangu ya ujinga, na kwa mawazo yako yasiyo na ujinga.
 
Huyu dada mama ake alikua waziri utawala wa Jakaya. Alipenda kusuka nywele za twende kilioni Dr Fenera PhD mwalimu UDSM.
Pia baba ake ni Prof Mukangara UDSM. Ana historia pale shule ya msingi mlimani alitengenezewa dawati lake na wazazi.

Hongera kwake.

Wapo kina wema sepetu baba zao wamekuwa na mavyeo kitambo.. na wameishi mpaka majuu. Ila wameishia kuwa wadangaji tu
 
Huyu dada mama ake alikua waziri utawala wa Jakaya. Alipenda kusuka nywele za twende kilioni Dr Fenera PhD mwalimu UDSM.
Pia baba ake ni Prof Mukangara UDSM. Ana historia pale shule ya msingi mlimani alitengenezewa dawati lake na wazazi.
Nilimuacha pale mlimani primary
 
Back
Top Bottom