Hakuna anayebisha kama dunia ni mapito, kama kuna kuzaliwa kwa nn kufa kusiwepo. Tunachokiongelea hapa ni kinyume kabisa na ulichokiandika. Ishu ni mwanadamu kujua majukumu yake na kuchukua hatua zaidi za kimazingira, kwenye shughuli yoyote anayoifanya hili kuweza kuitunza Dunia pamoja na mazingira yake kwa kizazi cha sasa na cha baadae.