kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
- Thread starter
-
- #101
Wewe una matatizo gani?, umeshapewa source ya hiyo news kwamba ni "International centre for Agriculture, Ulitaka nini zaidi?, hata kama ni Daily News lakini wameshakuambia wapi wametoa hiyo habari, maana yake kama huamini unaweza crosscheck na hiyo source.
Acha kukimbia ukweli, kataa sasa ni huyu a ayesema hamuwezi kujilisha mnategemea chakula cha Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna viwanda ving vingine vya unilever na vingine kibao ..na nyie hamunywi au kula vitu vyote mna export to Tz .UG .Rwnda etc ...industrial sugar ..ni kama sugar nyingne zote inatehesabiwa kwenye stats za sugar producedHivyo viwanda hutumia industrial sugar ambayo ni tofauti na sukari ya kawaida...
in any case, ni kina nani hawa wanaokunywa softdrinks na chocolates kama si wakenya.. ingkua sote ni maskini kama vile mnavyodai basi ingekua hatuna uwezo wa kununua hizo bidhaa zinazotengenezwa kwa sukari na hizo kampuni zingekua zilikufa kitambo
Never quote a Tanzanian media here. Huko ni ujinga tupu uko.
International Centre for Agriculture can easily be a non-existent entity like the one that awarded your dictator Magufuli some phony peace award.
Also, reports by major international bodies are also quoted by credible media houses.
Itakuwa story aje na media zote zenu ziko chini ya Supremo dikteta.
Media ambayo hamuwezi control, kama Reuters, inasema kwamba 78% ya watanzania hulala njaa wakati na wakati.
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters
Hiyo ni kuonesha tuna produce vyakula aina tofauti kwa wingi kama rice e.t.c.Tunakuanga na shortage kwasababu tunatumia chakula kingi .....
Kwa mfano average consumption ya mahindi per person Kenya currently stands at 103 kg/person/year, compared to 73 kg for Tanzania, 31 kg for Uganda 6 and 14.1kg for Rwanda 7kg.
Kwahivyo Tz inazalisha mahindi zaidi lakini mnakula kidogo compared to Kenya ndo maana mnabaki na ya kuuzia jirani kama ingekua mnakula Sawa na Kenya at 103kg per person per year ingekua mnakua na shortage kama Sisi wakati wa kiangazi...
sasa nyie inawahusu nn? Ukisikia sifa za kijinga ndo izi malizeni kwanza yenu na yapo mengi yanawasumbua mkianza na ukabila, ufisadi, chuki, madeni sugu kwa taifa then ndo muanze kuyaongelea ya wenzenu ila sishangai maana kawaida mkenya anapenda sifa kuliko maelezo hata mamanzi wao huku tunawala sana kwa kupenda kusifiwaItakuwa story aje na media zote zenu ziko chini ya Supremo dikteta.
Media ambayo hamuwezi control, kama Reuters, inasema kwamba 78% ya watanzania hulala njaa wakati na wakati.
Survey finds most Tanzanians go hungry, despite government denials | Reuters