Clinical Assistant ndiyo kada gani ya afya na inasomewa wapi na muda gani?

Clinical Assistant ndiyo kada gani ya afya na inasomewa wapi na muda gani?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nimeona katika tangazo la kazi wizara ya afya Tamisemi, kuna nafasi za Clinical Asistsnts.

1. Hawa ndio akina nani na imeanzishwa lini ? Nijuavyo ngazi ya chini ya tabibu ni Clinical Officers, Clinical Medicine
 
Nimeona katika tangazo la kazi wizara ya afya Tamisemi, kuna nafasi za Clinical Asistsnts.
1. Hawa ndio akina nani na imeanzishwa lini ? Nijuavyo ngazi ya chini ya tabibu ni Clinical Officers....clinical medicine
Hao huitwa Assistant Clinical Officer(ACO). CO ni mwenye Diploma na ACO ni mwenye Certificate ni wa fani hyo hyo ya medicine
 
Doctor Dr. = Mganga
Clinical officer CO.= Tabibu
Assistant clinical officer ACO = Tabibu msaidizi
Ni Tanzania tu ndio kuna Clinical officer Duniani kote hii ilianzishwa kwa msukumo wa Rais . Nyerere ndio maana mnaona mnatumia nguvu kubwa kuiita tabibu wakati ni jina lenye maana ya Doctor..

Clinical officer inatambuliwa ndani ya Tanzania tu..
 
Sawa
 
BSK basic computer application online.

SWAHILI.

Ninafundisha (online na offline) basic computer application/Microsoft office package kwa walio makazini na ambao hawako makazini (Mtu yoyote) kulingana na ratiba yako.

1. Excel.
2. Database (Microsoft access).
3. PowerPoint.
4. Word.
5. Computer theory BURE.

Piga: +255 759 448 927.

Ninauzoefu wa kutosha ambao utakufanya kuielewa vizuri computer.

Kuelewa ni kipaumbele.

+255 759 448 927.

ENGLISH.

BSK basic computer application online.

I teach basic computer application (online and offline) for in-service employees and non in-service employees (anyone) on your own time table.

1. Excel.
2. Database (Microsoft access).
3. PowerPoint.
4. Word.
5. Computer theory FREE.

I have a lot of experience that going to make you perfect in computer.

Understanding is my priority.

+255 759 448 927.
 
Ni Tanzania tu ndio kuna Clinical officer Duniani kote hii ilianzishwa kwa msukumo wa Rais . Nyerere ndio maana mnaona mnatumia nguvu kubwa kuiita tabibu wakati ni jina lenye maana ya Doctor..

Clinical officer inatambuliwa ndani ya Tanzania tu..
Plus AMO
 
Hiyo kozi ingefutwa tu sioni umuhimu wake wakat tayar una clinical officers
Wanalazimisha kwa kuna NURSE mwenye diploma pia kwenye certificate ndio na wao wanafanya hivyo.. yaani mtu aliyesoma miaka 2

Clinical officer (CO)= Miaka 3 (Ngazi ya Diploma)
Assistant Clinical Officer (ACO)= miaka 2 (ngazi ya cheti)

Ni Tanzania tu ndio kuna Clinical officer hoi yote ni sababu ya Nyerere.. kufidishia uhaba wa daktari enzi hizo sasa serikali nayo inaona ndio mwanya wa kuutumia kutokuajiri daktari wenye degree kubwa katika vituo vidogo vya afya sababu ya mishahara

Inajengwa propaganda kwamba daktari wenye degree hawezi pekekwa vituo vidogo ili muone elimu yako na mshahara haufai kuwa sehemu hiyo na watu wanaamini nafasi zao ndio zinabebwa na hao Clinical officer ni upuuzi sana kuwepo kwa Assistant Clinical officer anajua nini huyu?

Hongereni mliopo kata kada hizo pia
 
Nimeona katika tangazo la kazi wizara ya afya Tamisemi, kuna nafasi za Clinical Asistsnts.

1. Hawa ndio akina nani na imeanzishwa lini ? Nijuavyo ngazi ya chini ya tabibu ni Clinical Officers, Clinical Medicine
Tabibu wa miaka miwili
 
Tabibu wa miaka miwili
Mh! duni ya leo unasoma "medicine" miaka 3 unakwenda kumtibu nani. DR SANTOS nakumbuka zamani kulikuwa na RMA (Rural medical Aide) wakaifuta kuwa imepitwa na wakati kuendana na needs za afya ya watanganyik. sasa hii ina tofauti gani na RMA? Kama wewe ni MD kweli nijibu (maana JF kila mmoja anweza kuwa fulani)
 
Nimeona katika tangazo la kazi wizara ya afya Tamisemi, kuna nafasi za Clinical Asistsnts.

1. Hawa ndio akina nani na imeanzishwa lini ? Nijuavyo ngazi ya chini ya tabibu ni Clinical Officers, Clinical Medicine
Kwa maswali haya kasomee u dk tu
 
Ni Tanzania tu ndio kuna Clinical officer Duniani kote hii ilianzishwa kwa msukumo wa Rais . Nyerere ndio maana mnaona mnatumia nguvu kubwa kuiita tabibu wakati ni jina lenye maana ya Doctor..

Clinical officer inatambuliwa ndani ya Tanzania tu..
Huu Ni Uongo kwa 100%
Kenya na Africa Nzima kwa Ujumla.na Baadhi ya Nchi kama marekani na Bara la Ulaya wana Clinical Officer
 
Back
Top Bottom