Clinical Assistant ndiyo kada gani ya afya na inasomewa wapi na muda gani?

Clinical Assistant ndiyo kada gani ya afya na inasomewa wapi na muda gani?

Ni Tanzania tu ndio kuna Clinical officer Duniani kote hii ilianzishwa kwa msukumo wa Rais . Nyerere ndio maana mnaona mnatumia nguvu kubwa kuiita tabibu wakati ni jina lenye maana ya Doctor..

Clinical officer inatambuliwa ndani ya Tanzania tu..
Kuna nchi Africa hii hakuna Clinical Officer?
 
Nimeona katika tangazo la kazi wizara ya afya Tamisemi, kuna nafasi za Clinical Asistsnts.

1. Hawa ndio akina nani na imeanzishwa lini ? Nijuavyo ngazi ya chini ya tabibu ni Clinical Officers, Clinical Medicine
ACO zamani waliitwa RMA (Rural Medical Aid) wakihudumu kwenye dispensary.
 
BSK basic computer application online.

SWAHILI.

Ninafundisha (online na offline) basic computer application/Microsoft office package kwa walio makazini na ambao hawako makazini (Mtu yoyote) kulingana na ratiba yako.

1. Excel.
2. Database (Microsoft access).
3. PowerPoint.
4. Word.
5. Computer theory BURE.

Piga: +255 759 448 927.

Ninauzoefu wa kutosha ambao utakufanya kuielewa vizuri computer.

Kuelewa ni kipaumbele.

+255 759 448 927.

ENGLISH.

BSK basic computer application online.

I teach basic computer application (online and offline) for in-service employees and non in-service employees (anyone) on your own time table.

1. Excel.
2. Database (Microsoft access).
3. PowerPoint.
4. Word.
5. Computer theory FREE.

I have a lot of experience that going to make you perfect in computer.

Understanding is my priority.

+255 759 448 927.
Da! Umenikumbusha mbali sana. 😀👍
 
Nimeona katika tangazo la kazi wizara ya afya Tamisemi, kuna nafasi za Clinical Asistsnts.

1. Hawa ndio akina nani na imeanzishwa lini ? Nijuavyo ngazi ya chini ya tabibu ni Clinical Officers, Clinical Medicine
Medicime ngazi ya cheti kwa miaka miwili vyuo vya kati
 
ACO zamani waliitwa RMA (Rural Medical Aid) wakihudumu kwenye dispensary.
and therefore RMA imerudi.... nchi ya kishenzi hii, RMA tena in back door with sugar-coated name!
 
Back
Top Bottom