Clinical Assistant ndiyo kada gani ya afya na inasomewa wapi na muda gani?

Ni Tanzania tu ndio kuna Clinical officer Duniani kote hii ilianzishwa kwa msukumo wa Rais . Nyerere ndio maana mnaona mnatumia nguvu kubwa kuiita tabibu wakati ni jina lenye maana ya Doctor..

Clinical officer inatambuliwa ndani ya Tanzania tu..
Kuna nchi Africa hii hakuna Clinical Officer?
 
Nimeona katika tangazo la kazi wizara ya afya Tamisemi, kuna nafasi za Clinical Asistsnts.

1. Hawa ndio akina nani na imeanzishwa lini ? Nijuavyo ngazi ya chini ya tabibu ni Clinical Officers, Clinical Medicine
ACO zamani waliitwa RMA (Rural Medical Aid) wakihudumu kwenye dispensary.
 
Da! Umenikumbusha mbali sana. 😀👍
 
Nimeona katika tangazo la kazi wizara ya afya Tamisemi, kuna nafasi za Clinical Asistsnts.

1. Hawa ndio akina nani na imeanzishwa lini ? Nijuavyo ngazi ya chini ya tabibu ni Clinical Officers, Clinical Medicine
Medicime ngazi ya cheti kwa miaka miwili vyuo vya kati
 
ACO zamani waliitwa RMA (Rural Medical Aid) wakihudumu kwenye dispensary.
and therefore RMA imerudi.... nchi ya kishenzi hii, RMA tena in back door with sugar-coated name!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…