clinical medicine,medical lab-Eckernforde tanga university

clinical medicine,medical lab-Eckernforde tanga university

kitaz

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
17
Reaction score
1
Jaman mwenye ufahamu juu ya chuo hk,ni kizur?kimesajiliwa? Na gharama kwa ujumla. ntashukuru kupata msaada
 
I was passing through their website......

but I think someone who has studied there will give you enough explanation

btw Tanzania we have soo many Universities these days Kha..........
 
Mkuu chuo hakijasajiliwa kutoa mafunzo ya afya nakupa tahadhari, kuna watu wamekatisha mafunzo coz serekekali haikukipa usajili wa mafunzo hayo hvyo wanafunz wamerudishwa pesa zao nakuondoka
 
I was passing through their website......

but I think someone who has studied there will give you enough explanation

btw Tanzania we have soo many Universities these days Kha..........

kuna only 26 universities 16 public 10 private
source; tcu
 
Walikua wanasoma diploma ya maswala ya afya.

kuna jamaa anaxema eti wanadai sasa hv wameshasajiliwa chini ya nacte na walitangaza kwenye gazet la mwananch september 19
 
Back
Top Bottom