FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nisingependa kutia chumvi kwenye hili, labda hiyo video clip iongee yenyewe, nimeishiwa maneno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washenxi sana hawa jamaa[emoji16][emoji16]
Nisingependa kutia chumvi kwenye hili, labda hiyo video clip iongee yenyewe, nimeishiwa maneno.
Nisingependa kutia chumvi kwenye hili, labda hiyo video clip iongee yenyewe, nimeishiwa maneno.
Waxhenxi tuHao viumbe wanakula kila kitu kinachotembea, sijui shida ni wingi wao misosi haitoshi..
Nisingependa kutia chumvi kwenye hili, labda hiyo video clip iongee yenyewe, nimeishiwa maneno.
Shida sio nini unakula, shida ni jinsi unavyokiua, hakuna sababu ya kupika vitu vikiwa haiShida nini mkuu,,, FRANCIS DA DON
Kama ni kula mbona waafrika tunakula panya, nyoka, nyani mpaka konokono?!
Kule Malawi wanakula maduduwasha Yale yakwenye miembe makubwa sana, ufipani wanakula funza Fulani wanakaa kwenye miti iliyooza, magamba ya miti au chini ya ardhi wanawakaanga kwenye mafuta,
Wamakonde wanakula panya, wahehe wanakula mbwa, wapemba wanakula popoo!
wakongo wanakula nyani, ngedere, sokwe mpaka binadamu wale emolo wafupi sana (mbilikimo), wanalalamika sana kuliwa na wakongomani warefu.
Kenya maeneo ya pwani kuanzia Mombasa mpaka lamu kuna kabila linakula wale konokono wenye magamba ya kahawia (Brown) ndani weusi tii.
Kwahiyo sioni tatizo la kuwachukia wachina wakati hata huku kwetu afrika mambo hayo yapo, na kuhusu magonjwa hata huku kwetu ugonjwa Wa EBOLA ulisemekana ulitokana na waafrika kula sokwe na nyani,
Japo magonjwa mengine hutengenezwa maabara na mataifa ya magharibi kwa Mipango yao ya population control na kutafuta masoko ya makampuni yao ya madawa, na kuyumbisha uchumi Wa mataifa mengine kama ilivyo kwa China yaani trade war as biological weapons!
Kwao ndio usasa huo mkuu, (modernization)Shida sio nini unakula, shida ni jinsi unavyokiua, hakuna sababu ya kupika vitu vikiwa hai