Shida nini mkuu,,,
FRANCIS DA DON
Kama ni kula mbona waafrika tunakula panya, nyoka, nyani mpaka konokono?!
Kule Malawi wanakula maduduwasha Yale yakwenye miembe makubwa sana, ufipani wanakula funza Fulani wanakaa kwenye miti iliyooza, magamba ya miti au chini ya ardhi wanawakaanga kwenye mafuta,
Wamakonde wanakula panya, wahehe wanakula mbwa, wapemba wanakula popoo!
wakongo wanakula nyani, ngedere, sokwe mpaka binadamu wale emolo wafupi sana (mbilikimo), wanalalamika sana kuliwa na wakongomani warefu.
Kenya maeneo ya pwani kuanzia Mombasa mpaka lamu kuna kabila linakula wale konokono wenye magamba ya kahawia (Brown) ndani weusi tii.
Kwahiyo sioni tatizo la kuwachukia wachina wakati hata huku kwetu afrika mambo hayo yapo, na kuhusu magonjwa hata huku kwetu ugonjwa Wa EBOLA ulisemekana ulitokana na waafrika kula sokwe na nyani,
Japo magonjwa mengine hutengenezwa maabara na mataifa ya magharibi kwa Mipango yao ya population control na kutafuta masoko ya makampuni yao ya madawa, na kuyumbisha uchumi Wa mataifa mengine kama ilivyo kwa China yaani trade war as biological weapons!