CLIP: Tristan Thompson cheating on Khloe with two Women

CLIP: Tristan Thompson cheating on Khloe with two Women

Kumbe Mungu yupo eeeeee,Khloe umelipwa sawia ya ulichotenda
 
nimeisoma jana insta. i pity her, kama namuona ex gf & baby mama wa tristan anavochekelea.
 
tristan anazingua sana.. kashuka sana kiwango nowdays....

lebron atawaacha wanyonge wakimuangusha kwenye playoffs
LeBron anapambana peke yake,ila kwa sasa Kevin Love karudisha uhai kidogo wa Cavs.
 
Khloe alikuwaga na tako zuri kweli ila siku hizi kwishaaaa. Wajanja wameondoka nayo, kabakiwa na uso mzuri tu ila umbo la tako hana tena
 
  • Thanks
Reactions: sho
Khloe mbona mpole sana hana makuu...


Ila that's a show, they are on for business anything can be set up...


Cc: mahondaw

Dogo ni kitombi kama kina Khloe tu, baby mama wake kasema alijua itatokea.

LBJ atakuwa ameumia make hiki kipindi ni kigumu kwao.
 
Io ndio karma hufanya khloe mwenyewe alimkuta tristan kamuacha mtu na mimbaa[emoji16] na yeye akawa nae so dunia hii malipo ni apa apa
 
Back
Top Bottom