Clip za videos zikionyesha yanga wakifanya mambo ya kishirikina kwenye uwanja wa samora Iringa

koboG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Posts
2,763
Reaction score
5,167
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Gongowazi [emoji196][emoji196]
Kwasukwasuu Fc
 
Hayo yanafanywana Mikia FC kwa kushirikiana na TIFUTIFU ili Yanga aonekane karoga.
 
Huku kwetu Yanga baada ya kuona gap LA point limebaki 2 na jumatano tunawapita wamekubali yaishe wanasema eti wanajipanga kwa ajili ya mwakani,vipi huko kwenu bado wabishi???
 
Duuh! Nini kimewaaminisha kwamba ni wa timu ya Wananchi? Au ndio mmeanza kuweweseka.
Angalia hapa afa useme hiro bus ni la team gan
Your browser is not able to display this video.
 
Wee nae usitufanye watoto wadogo. Ile video inaonyesha jamaa akiwa peke yake na Uwanjani hapakuwa na watu sa vina uhusiano gani na hii video ya sasa.

Ila kwa kuwa umeamua kuwwaminisha MIKIA wenzio haya aminini tu Mkuu. Sio kesi.
Hoya, wakati Rage anasema kuna mambumbumbu mule usidhani alikuwa amelewa. Hatumii pombe ustaadh yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…