Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kwako Mshana.Nauza yanga mbovu na dola chakavu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji123][emoji108][emoji120]Heshima kwako Mshana.
Hahahahaha hahahahahaNauza yanga mbovu na dola chakavu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mbona huyo jamaa simuoni hapo?Angalia hapa afa useme hiro bus ni la team gan
View attachment 1089565
Hii biashara yako hainunuliwi tu kwani?Nauza yanga mbovu na dola chakavu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hoya, wakati Rage anasema kuna mambumbumbu mule usidhani alikuwa amelewa. Hatumii pombe ustaadh yule.Wee nae usitufanye watoto wadogo. Ile video inaonyesha jamaa akiwa peke yake na Uwanjani hapakuwa na watu sa vina uhusiano gani na hii video ya sasa.
Ila kwa kuwa umeamua kuwwaminisha MIKIA wenzio haya aminini tu Mkuu. Sio kesi.
Hahaaaa. Kweli usemalo Mkuu.Hoya, wakati Rage anasema kuna mambumbumbu mule usidhani alikuwa amelewa. Hatumii pombe ustaadh yule.