Clip za videos zikionyesha yanga wakifanya mambo ya kishirikina kwenye uwanja wa samora Iringa

Huku kwetu Yanga baada ya kuona gap LA point limebaki 2 na jumatano tunawapita wamekubali yaishe wanasema eti wanajipanga kwa ajili ya mwakani,vipi huko kwenu bado wabishi???
Saizi washakua wapole balaa
 
Duuh! Nini kimewaaminisha kwamba ni wa timu ya Wananchi? Au ndio mmeanza kuweweseka.
Bado unagoma kuamin kwa kuona tu or izo video hazionyeshi kua jamaa ha mwagi dawa nakuongezea nyingine tena
Your browser is not able to display this video.
 
Hahaaaa. Kweli usemalo Mkuu.

Ngoja nimuwache na hizo video zake sababu zinadhihirisha ile kauli ya Rage.
Unajua hiyo ndio michezo yao, anadhani ubingwa mara 27 tulipatia Bagamoyo wanakoendaga kwa Rashid pale Kilomo

Your browser is not able to display this video.
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] nacheka mpaka mbavu zinauma rudi nyumbani kumenoga SIMBA RAHA malkia wa Virginia wewe huko uliko utapata vidonda vya tumbo
Heri kuwa Simba japo kwa siku moja, kuliko kuwa Mbuzi Daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…